Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sana
Mawazo finyu sana haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo finyu sana haya
Acha masihara kaka, 6M ni hela ya kawaida sana kwenye biz, usiikuze kiasi hicho man, fungua macho utafute fursa utaziona zinazoweza kulipa kiasi hichoHahahahahah mzee utakuwa unamiliki sheli 😅
6 M sio pesa ya kawaida mkuu, ni ndogo kwa kuongelea hapa jf ambako wengi wanaandikaga wanakaa masakiAcha masihara kaka,6M ni hela ya kawaida sana kwenye biz,usiikuze kiasi hicho man,fungua macho utafute fursa utaziona zinazoweza kulipa kiasi hicho
Mimi naongelea biashara kaka siyo duka,6 M sio pesa ya kawaida mkuu, ila kwa kuongelea hapa jf ni ya kawaida.
Watu kibao waningia dukani saa 12 wanatoka saa nne faida ni elf 30.
Hao wazee wa 6m wanagesabika na wengi wao walikuwa na mitaji aidha kutoka kwenye mishahara, wazazi, n.k.
Hata robert Kayosaki alipata mtaji wake kutoka kwenye mshahara, Kina biil gates na Mark zuck wazazi wao walikuwa wananuka pesa
Kwani hujui JF wanaongea humu kesho hao hao zikibuma wnakuja na id za kuomba ajira eti 6mil ni ndogo wanaumwa huyu nikki wa pili asingeenda kweny ajira6 M sio pesa ya kawaida mkuu, ila kwa kuongelea hapa jf ni ya kawaida.
Watu kibao waningia dukani saa 12 wanatoka saa nne faida ni elf 30.
Hao wazee wa 6m wanagesabika na wengi wao walikuwa na mitaji aidha kutoka kwenye mishahara, wazazi, n.k.
Hata robert Kayosaki alipata mtaji wake kutoka kwenye mshahara, Kina biil gates na Mark zuck wazazi wao walikuwa wananuka pesa
Watu wana utani kweli6 M sio pesa ya kawaida mkuu, ila kwa kuongelea hapa jf ni ya kawaida.
Watu kibao waningia dukani saa 12 wanatoka saa nne faida ni elf 30.
Hao wazee wa 6m wanagesabika na wengi wao walikuwa na mitaji aidha kutoka kwenye mishahara, wazazi, n.k.
Hata robert Kayosaki alipata mtaji wake kutoka kwenye mshahara, Kina biil gates na Mark zuck wazazi wao walikuwa wananuka pesa
Biashara tu ya kuingiza 3 m as a profit baada ya kutoa gharama zote sio kitoto wapo kariakoo kibao miaka kibao wanaishia kuvaa nguo tu kali ila maendeleo bado sana miaka minne mtu hana nyumba biashara ngumu sio kitoto unajinyima time zaidi kuna jmaa wanafuatilia mizigo yao bandari mpaka usiku hawalali roho juuMimi naongelea biashara kaka siyo duka,
Kuna mtu hapo juu kasema inawezekana hata maana ya biashara wengi wetu hatujui,na wewe panua akili na ujielimishe zaidi,biashara siyo duka pekee
Watu wa humu ndani hujawazoea kwani 🤣🤣🤣🤣ndani ya ajira watu wanapata fursa kibao especially position za juu jiulize hao wakina mbowe si wafanya business wakubwa wanashika parefu ila wanataka ubunge na urais ili mambo yawe mazuri zaidiWatu wana utani kweli
Sasa hizo sehemu ulizotaja Kama umewekwa kimkakati sawa lakini Kama inategemea boss ataamkaje bado plan B ni muhimu sana.Hizi story ukiwaambia watu waliopo Vodacom,Tigo,TCC,mgodini,Bandari,nmb,nssf,wataona una kichaa!!kama kuwa mtumwa ndio unapata overtime zaidi ya milioni mbili kwa wiki!basi huo utumwa mzuri.
Umeandika vizuri sana mkuu. Asante sana!Kuna kujiajiri na kujiajiri kubangaiza maisha, means kujiajiri definition au maana yake sio kuuza duka tu.
Na watu wengi ndipo wanapojichanganya kwenye hiyo definition wakisikia neno "kujiajiri" ikiwemo wewe.
Mtu anayeuza duka anabangaiza maisha lakini bado amejiajiri.
Wabongo wengi ni Self employed, hawa wanauza maduka wenyewe, wanafanya shughuli zote wenyewe, hapo mtu anageuka tayari kuwa mtumwa,Biashara zimewanufaisha wengi ila kama unawaangalia watu walio jiajiri kwenye maduka ya rejareja mtaani hapo hata mm huwa nahisi zile biashara zina shida fulani ni wachache sana wanao toboa kimaisha wengi unaweza ukaanza shule ya msingi unamuona had unamaliza hali bado ni ileile maendeleo ya dukan kwake labda alete kabati jipya la kupangia bidhaa na kubadili muonekano wa duka tu.
Nadhani kila mtu afanye anachoona ni sawa, wengine tumejiajiri huwezi kuniambia hayo unayosema nikakuelewa na nip private sector mwaka wa kumi na ushee, we endelea na ulichoona kinakufaa kila mtu na uwezo wake wa akili kwenye haya maisha.cc: jokate, nikiwapili
SIZITAKI MBICHI HIZI 😂 😂
Mtu anaamka kila siku miaka nenda rudi anafungua duka alafajiri mpaka usiku na faida yenyewe haizidi hata elf 30 kwa siku, Ni wapi anapata
Biashara ni nzuri ikiwa kuna system ya kupigana jeki na kubebana, hapa bila kificho tunajionea kwa waarabu, wahindi, wakinga, wapemba na wachaga, hawa huwa wana mitandao yao ya vikundi vya kubebana, wanajenga system za kusaidiana, wanachangiana, mzazi akifa kuna mtoto kaandaliwa tayari , n.k unakuta mtu akitaka kusafirisha mzigo kuna mtu wao ana kampuni ya kusafirisha, akitaka mtaji kuna mtu wao anaweza
Watu ambao ni wavivu , hupendelea mno kuajiriwa kuliko kujiaricc: jokate, nikiwapili
SIZITAKI MBICHI HIZI [emoji23] [emoji23]
Mtu anaamka kila siku miaka nenda rudi anafungua duka alafajiri mpaka usiku na faida yenyewe haizidi hata elf 30 kwa siku, Ni wapi anapata confidence ya kusema ajira ni utumwa kwa mwenzake anaeiingiza milioni 2 kila mwezi, siku 150 za kupumzika kila mwaka, akiumwa bado anapata mshahara, anaingia kazini saa 2 anatoka saa 11 jioni, kuna posho, n.k, Ni wapi anatoa hii confidence.
Ww unapo pa kushika ndio maana unaongea hivyo
Dah aisee mkopeshe mtajiKuna Dogo mmoja alitoka kijijin kwao huko msoma kaja mjin kaanzisha biashara ya mpesa ,tgopesa Mambo ya uwakala kwa ujumla.
Kakomaa biashara ikawa vizuri akavuta mke ohhh msala uka anzia apo biashara anafanya ila matumizi Ni mengi mpka akawa anajikuta anagusa mtaji..! kule kijjn alikua kaachiwa ng'ombe kadhaa za urithi ..Mchezo ukawa Ni Mambo yakiyumba kidogo anapiga sim wanauza Ng'ombe ana boost mtaji.
Mpka Sasa Zizi kalimaliza na mda si mrefu tunamtafutia kirikuu arudi kwao kijijin Mimi nimemshauri kirikuu sio nzuri atafute hata pick up au guta kwa usafiri wa uhakika.
Hapo ukijitahidi sana utaanza kuwa machinga tu kubangaiza maisha!Biashara zimewanufaisha wengi ila kama unawaangalia watu walio jiajiri kwenye maduka ya rejareja mtaani hapo hata mm huwa nahisi zile biashara zina shida fulani ni wachache sana wanao toboa kimaisha wengi unaweza ukaanza shule ya msingi unamuona had unamaliza hali bado ni ileile maendeleo ya dukan kwake labda alete kabati jipya la kupangia bidhaa na kubadili muonekano wa duka tu.