CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,157
- 5,451
Kwani kuchaguliwa sio kikatiba?Ni ujinga kunilazimisha eti Samia ni Rais wa kupigiwa kura!
Samia alikuwa msaidizi wa Hayati Magufuli ambaye ndiye aliyepigiwa kura za Watanzania kuwa Rais.
Lakini baada ya kifo cha Magufuli kikatiba makamu wake ndiye aliyepaswa kuwa mkuu wa Nchi. IELEWEKE,NI KWA MUJIBU WA KATIBA na si kwa MUJIBU WA WAPIGA KURA.
Kwa muktadha huo si sahihi kusema Samia ni Rais aliyepigiwa kura bali ni Rais ALIYEPO MADARAKANI KWA MUJIBU WA KATIBA na huo ndiyo ukweli.