Tatizo sio elimu tatizo ni common sense na logic Kwa Mtanzania , inajulikana watz wengi hawatumii akili wala logic kufikiri na kutenda .WEWE UTAKUWA NI MMOJA WAO WA WASOMI WAPUMBAVU .....NI UKWELI USIO PINGIKA KUWA TZ INAWASOMI FEKI TUPU KUANZIA WALIMU MPAKA WANAFUNZI ...KUANZIA PRIMARY MPAKA VYUONI ...TENA WASOMI WENYEWE SIYO FEKI TU HATA AKILI HAWANA
Unachanganya siasa na elimu, kinachoturudisha nyuma ni siasa za tz sio elimuMimi napinga kabisa kwamba usomi ndo unaleta maendeleo, kusoma kote huko sisi watanzania na bado nchi inazidi kuwa maskini tu, mimi najua tupate watu wa kuwajibika na kuleta maarifa, tupate watu wa kujua na kupambana, na mazingira kwenye jamii na kuondoa changamoto zinazowakabili, wananchi. Kwa mfano marekan ilianza kujengwa na watu wakaida kabisa wasio na elimu, na ndo waliiweka kwenye msingi ndo leo!
Bora nimeona comment hii. Bravo!!!Tatizo sio elimu tatizo ni common sense na logic Kwa Mtanzania , inajulikana watz wengi hawatumii akili wala logic kufikiri na kutenda .
Hao mbumbumbu ambao unasema hawana elimu ndio worse kabisa.
Utakuwa ni mtu wa ajabu kudhani hao la saba ndio better .
Mkuu hao uliowataja shida sio elimu shida ni njaa na siasa za tz ukiondoa ivyo vitu viwili hao ni madocta na maprofesa wa uhakikaKweli Dr. Biteko, dk mwigulu
Hizi PhD zonamsaada Gani?
Profesa kabudi katiba mpya haitaki teana
Kwenye uringo wa siasa hamna msomi mkuu hata hao akina lisu siku wakipata madaraka utarudia kuandika hapa, mfano muangalie polepole wa bunge la katiba na polepole wa magufuli utaniambia shida iko wapiWatu ni wajinga sana nchi hii ,kuna wasomi nchi hii ni smart kichwani , mtu kama Tundu Lisu , Peter Kibatala nk
Hata kujenga hoja unaona kabisa huyu mtu ana akili na elimu .
Kama nilivyotangulia kusema
Tatizo ni mfumo mibovu ya nchi hii ambao haitoi incentives na kuwaforce watu kutumia akili na elimu zao katika jamii .
Mbumbumbu wamejazana humo bungeni akina msukuma , akina Lusinde na mazwazwa wengine .
Ni kwasababu tuna katiba mbovu ya kishenzi inayotoa mwanya kwa mbumbumbu asiye na elimu kugombea na kuwa mbunge ,na tunajua uchaguzi nchi hii ni upuuzi tu .
As long as upo chama tawala unapita ,hata kama ni bogus kiasi gani .
Hii inasababisha hata hawa ambao wana elimu kuona hamna haja ya kutumia elimu zao nao ni bora waunge tela Tu ili kubehave kama hawa mahayawani wasio na elimu as long as kushibisha tumbo , ndio unakuta kundi la machawa , walamba viatu watu wasio na misimamo wala visions wameingia kwenye mifumo ya nchi hii na kuleta contaminations Kwa jamii nzima
Nchi imetengeneza culture ya mediocrity mfano mzuri ni ccm yenyewe , chama kilichoongoza nchi kwa miaka zaidi ya 60 sasa , angalia aina ya watu walioko huko na mambo wanayoyafanya , nia aibu na upuuzi mtupu .
Kiufupi Tanzania ni mediocracy state , hii imeenda mpaka kwenye majeshi ,angalia recruitment ya kwenye vyombo vya dola mfano polisi ,jwtz ,magereza ,TISS nk
Kigezo ni kuwa failure ndio uingie huko , yaani elimu inakuwa disincentivized kwa uwazi kabisa na tuna ona kawaida kabisa , angalia mwisho wa siku ,yanayofanyika huko , ni aibu na upuuzi .
Na products ndio hizo ,full mediocity au ukilaza sugu .
Leo hii unasimama kwa ujasiri na kusema wasomi wa nchi hii ni shida ,
Hapo unakuwa hujaangalia mzizi wa tatizo ni nini pia .
Kwa baadhi ya vitivo wanafanya ivo mkuu japo kwa uchache mfano waliosomea kilimo na ufugaji, lakini kwa elimu ya tz kuna vitivo vimewekwa kwa ajili ya kuendesha sector za nchi mfano udaktari, ualimu, na masomo ya uraia(human resources)Wasomi inabidi muelewe kwamba Elimu sio chanzo za utajiri ila elimu ni ufunguo tu wa maisha kukufanya ujue kitu kizuri ni kipi na unakipataje. Shida inayofanya tuone elimu haina umuhimu kwa sasa ni sababu wengi baada ya kugundua kwamba elimu haiwapi ajira katika sekta rasmi, hatuoni mkitumia usomi wenu kutimiza malengo yenu.
Tatizo sio elimu tatizo ni common sense na logic Kwa Mtanzania , inajulikana watz wengi hawatumii akili wala logic kufikiri na kutenda .
Hao mbumbumbu ambao unasema hawana elimu ndio worse kabisa.
Utakuwa ni mtu wa ajabu kudhani hao la saba ndio better wapi nimesema la saba ndiyo better 🙄🙄
Wapi nimesema la saba ndiyo better ?🙄 ila hata hivyo kwenye hoja yako kuna logic hii nibora ..darasa la saba mpumbavu kuliko professor mpumbavu ...mfano ni bora machinga mpumbavu kuliko Rais mpumbavu ni bora masikini mpumbavu kuliko tajiri mpumbavu ...unajua kwanini ? Tumia akili ....hivyo darada la 7 mpumbavu madhara yake ni madogo kuliko professor mpumbavu.Tatizo sio elimu tatizo ni common sense na logic Kwa Mtanzania , inajulikana watz wengi hawatumii akili wala logic kufikiri na kutenda .
Hao mbumbumbu ambao unasema hawana elimu ndio worse kabisa.
Utakuwa ni mtu wa ajabu kudhani hao la saba ndio better .
Mkuu Elimu Gani unayozungumzia hii hii ya makaratasi ya bongo????Nyerere aliendesha nchi kwa mafanikio makubwa sana bila kuwa na wasomi wa kutosha kwanini tumerudi nyuma baada ya kuwa na hao unaoita wasomi wa kutosha?
Viwanda vilikufa
Mashirika yalikufa na mambo mengine ya hovyo
Kwasababu huna akili za kutosha na huo usomi haujakusaidia chochote utasema tumepiga hatua kubwa lakini kiuhalisia kama kweli usomi ungekuwa umeplay part yake tungekuwa mbele mara mia kuliko pale tulipo sasa
Lakini kwasababu huna unachokijua pamoja na usomi wako wote hapa tulipo wewe uliye msomi unaona ni sawa sawa kabisa
Wenye akili wanaona nyie wasomi wa vyeti mnapamba, unapambana nini sasa
Tuambie mlifaulu kwenye jambo gani zaidi ya makaratasi tu
Umeme hovyo
maji hovyo
Barabara hovyo
Elimu hovyo
Hospitali hovyo
Uongozi hovyo
Taja mambo yanayokupambanueni kwamba nyie ni wasomi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwa namna hii, huyu mpigania hadhi za wasomi ni kilaza?Kwa watu walioelimika wangeweza kujua hii ni Socratic Method.
Hujaelimika wewe.
Hujaweza hata kusema utamjuaje mtu aliyeelimika, hivyo hujafikia kiwango cha kusema nani kaelimika.
Kwa Tanzania, unaweza kabisa kukuta huyo mbunge anayewasema wasomi, hao wasomi, na huyu member wa JF anayewatetea wasomi wote ni vilaza.Kwa namna hii, huyu mpigania hadhi za wasomi ni kilaza?
Bado yupo pangoni huyo. Hakuna msomi hapa. instagramer unakwepa mjadala sheikh? [emoji3]Kwa Tanzania, unaweza kabisa kuluta huyo mbunge anayewasema wasomi, hao wasomi, na huyu member wa JF anayewatetea wasomi wote ni vilaza.
We si unaona mjadala mdogo tu nampeleka mdogomdogo kwa Socratic Method tujue mzizi wa fitna kakimbia tayari?
Sasa msomi ni mtu wa kukimbia maswali ya Socratic Method kwenye mazungumzo basic kama haya?
Uko sahihi. Mfumo uboreshwe na usimamiweHili sasa ni tatizo la mfumo sio la wasomi mmoja mmoja. Badala ya kuwafanyia bullying wasomi kama anavyofanya Msukuma bungeni tupige kelele mfumo ufanyiwe mageuzi otherwise mfumo utatuzalishia wasomi hawa hawa tu tulionao.
Umenena mkubwa, hoja nzito sana hii.Hakuna substitution ya ukweli, wasomi wanazingua na elimu zao ni lazima waambiwe ukweli,
Hata mie sijasoma pia ila Kuna mambo wataalamu wanafanya unajiuliza hata huko vyuoni alipata elimu ipi kutusaidia sisi ngumbaro
Kuna profess aliwahi kusema kuwa magufuli alimuokota jalalani!!!, imagine political divident zilimfanya aone udsm ni jalala, na bado wasomi wakakaa kimya.
Unaona sasa!!! Ndio maana wasomi wetu mnadharaulika, sababu yapoor reasoning!Tufunge shule zote mtoto akifikia miaka 7 aende kupambana mtaani