Watu ni wajinga sana nchi hii ,kuna wasomi nchi hii ni smart kichwani , mtu kama Tundu Lisu , Peter Kibatala nk
Hata kujenga hoja unaona kabisa huyu mtu ana akili na elimu .
Kama nilivyotangulia kusema
Tatizo ni mfumo mibovu ya nchi hii ambao haitoi incentives na kuwaforce watu kutumia akili na elimu zao katika jamii .
Mbumbumbu wamejazana humo bungeni akina msukuma , akina Lusinde na mazwazwa wengine .
Ni kwasababu tuna katiba mbovu ya kishenzi inayotoa mwanya kwa mbumbumbu asiye na elimu kugombea na kuwa mbunge ,na tunajua uchaguzi nchi hii ni upuuzi tu .
As long as upo chama tawala unapita ,hata kama ni bogus kiasi gani .
Hii inasababisha hata hawa ambao wana elimu kuona hamna haja ya kutumia elimu zao nao ni bora waunge tela Tu ili kubehave kama hawa mahayawani wasio na elimu as long as kushibisha tumbo , ndio unakuta kundi la machawa , walamba viatu watu wasio na misimamo wala visions wameingia kwenye mifumo ya nchi hii na kuleta contaminations Kwa jamii nzima
Nchi imetengeneza culture ya mediocrity mfano mzuri ni ccm yenyewe , chama kilichoongoza nchi kwa miaka zaidi ya 60 sasa , angalia aina ya watu walioko huko na mambo wanayoyafanya , nia aibu na upuuzi mtupu .
Kiufupi Tanzania ni mediocracy state , hii imeenda mpaka kwenye majeshi ,angalia recruitment ya kwenye vyombo vya dola mfano polisi ,jwtz ,magereza ,TISS nk
Kigezo ni kuwa failure ndio uingie huko , yaani elimu inakuwa disincentivized kwa uwazi kabisa na tuna ona kawaida kabisa , angalia mwisho wa siku ,yanayofanyika huko , ni aibu na upuuzi .
Na products ndio hizo ,full mediocity au ukilaza sugu .
Leo hii unasimama kwa ujasiri na kusema wasomi wa nchi hii ni shida ,
Hapo unakuwa hujaangalia mzizi wa tatizo ni nini pia .