t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Spot on!! Ilitakiwa upate clue kwa nini akina msukuma wanasomeaha watoto wao international schools.!!Hao akina Msukuma ni wa kupuuzwa,wanaongea Ujinga na kudharau Wasomi wakati huohuo watoto wao wanasoma shule za kimataifa!!!
Maana yake elimu yetu ina under perform, watu wanakariri kufaulu na sio kuelewa. Graduates kama kina mwinjaku wanapojinasibu hadharani kuwa ni machawa we huogopi?
I too, wouldn't take my son down that road, ni either asisome kama mie baba ake au nimsomeshe kwenye elimu ambayo itampa matokeo chanya, sio hii yetu kumfanya mtumwa.