Tusipowakemea hawa wabunge wanaobeza elimu yetu na wasomi wetu, tutazalisha Taifa la hovyo kabisa

Fanyeni vumbuzi au consultatations kwenye fani mlizosomea, mbona vijana wa ufundi veta wanaingiza kwenye kujiajiri straight,
Mfano mwalimu anatakiwa alete uvumbuzi gani?
 
Mwalimu hawezi kuwa msomi, hapa tunaongelea clueless graduates
Kuna interview ipo Millard ayo jamaa ana kiwanda babati huko, jamaa aliamua kuwa train bodaboda wawe machine operators baada ya kuona graduates wanashindwa hata kuwasha mashine.. Nina jamaa yangu ana degree ya mechanical engeneering, hata piston hajui.
 
Kwa sample ya huyo jamaa ako tu haitoshi ku generalize kuwa ma-enginer wote watashindwa kuwasha piston

Nnachotaka kusema ni kuwa elimu yetu ni kweli ina mapungufu ila sio sawa kufananisha darasa la saba na graduates wanachofanya wabunge ni siasa wapate accolades

Inafika mahala mtu analaumu eti wasomi wameshindwa kujiajiri pamoja na usomi wao hizi ni siasa tu ili mtu aweze kujiajiri kigezo sio elimu tu kuna factors nyingine nyingi za mtu kujiajiri

Lakini pia haiondoi umuhimu wa elimu kuna sekta nyingine bila elimu hutoboi hata tu hiyo wanayoiponda hapo after all hao maprofesa huo uprofesa wanautolea wapi si wanaenda somea phd nchi za nje huko ambako mitaala ni ileile inatofautiana pedagogy tu
 
Tatizo la wasomi wengi nchini wa generation hii ni, knowledgeable lakini sio competent ,maana vitu vingi wanavijua juu juu Kwa kukariri na kwa nadharia ,ukimpeleka field unaweza ukajikuta unachagua ucheke au ulie na yote inatokana na wakufunzi wanaowaandaa na wenyewe kutokuwa competent lakini utakuta eti tayari mtu ndo kashakuwa tutor,lecturer,prof
mifano ninayo mingi sana ya kuthibitisha hili jambo Kwa sababu haiwezekani kwa lecturer anayejitambua ashindwe kujua vitu vidogo sana kwenye module anayofundisha tena miaka Kwa miaka mpaka itokee arekebishwe ndo anashituka baada ya kujua alikosea na akiwa tayari ameshawalisha matango pori wanafunzi mbalimbali Kwa miaka na miaka.

Yote kwa yote wakulaumiwa moja kwa moja ni serikali hususani hizi taasisi zake za tcu na nacte,Kwa sababu inakuwaje mfano chuo kinaanzishwa au kozi mpya inaanzishwa halafu hakuna hata good training infrastructures,Sasa hapo unategemea kitatoa wasomi ambao ni knowledgeable na vile vile ni competent.
 
Tumekuwa taifa la ajabu ajabu sana kwa watu wa aina hiyo katika chombo muhimu cha maamuzi
 
Kwa sample ya huyo jamaa ako tu haitoshi ku generalize kuwa ma-enginer wote watashindwa kuwasha piston

Nnachotaka kusema ni kuwa elimu yetu ni kweli ina mapungufu ila sio sawa kufananisha darasa la saba na graduates wanachofanya wabunge ni siasa wapate accolades

Inafika mahala mtu analaumu eti wasomi wameshindwa kujiajiri pamoja na usomi wao hizi ni siasa tu ili mtu aweze kujiajiri kigezo sio elimu tu kuna factors nyingine nyingi za mtu kujiajiri

Lakini pia haiondoi umuhimu wa elimu kuna sekta nyingine bila elimu hutoboi hata tu hiyo wanayoiponda hapo after all hao maprofesa huo uprofesa wanautolea wapi si wanaenda somea phd nchi za nje huko ambako mitaala ni ileile inatofautiana pedagogy tu
Hakuna mahala nimesema la saba ni bora kuliko garaduate, elimu yetu ina mapungufu Hilo ndo swala inatakiwa kufanyiwa kazi
 
Naamini wewe ni mmoja wa wasomi wetu, maana una behave just exactly the same
nimetoa mfano wa napster na dogo, lengo ilikuwa ni kukuonesha kuwa jinsi elimu inavyoweza kumfanyia mtu awe mbunifu na kujitegemea kama itafundishwa kwa mitaala mzuri, wewe umekuja na mijadala yako ya kutunga tunga ili ku accommodate idea zako binafsi. Eti America Kuna funds za software developments, huu uongo umetoa wapi? Napster yenyewe kwanza ilifungwa kwa kesi kibao maana ilikuwa ina violate music copyrights, halafu ndo useme ilikuwa funded na USA government?
Aliyetoa mfano wa medical graduate eti hawana capital ya kufungua hospitali naye yupo kwenye kifungo hicho hicho mnachohangaika wasomi wetu, hamna clue, ingekuwa elimu yetu ni nzuri mngekua mnaajirika kwenye mashirika ya kimataifa.
Huna akili
Pitia humo , upate knowledge na clues .
Acha kuandika upumbavu humu .
Huna clue yoyote ya masuala ya ubunifu , ujasiriamali , research and development .
Just shut the fvck up.
Wapumbav kama wewe ni disgrace .
You make me sick .
Wewe na hao wabunge vilaza wa huko bungeni ndio ninaowaongelea .
Hujui kitu kaa kimya

View: https://youtu.be/wrJsExM8D-o?si=x5Txz0evW8kXLndU
 
Wewe ni mpumbavu ,nimekuuliza unajua maana ya Venture capitalist ?
Au najafiliana na mpumbavu asiyejua anachoongelea ?
Nani kakwambia Venture capitalist ,mfumo wa kuraise funds Kwa ajili ya research and development unafanywa na serikali pale Marekani ?
Unaelewa unachoongea ?
 
Naamini wewe ni mmoja wa wasomi wetu, maana una behave just exactly the same
nimetoa mfano wa napster na dogo, lengo ilikuwa ni kukuonesha kuwa jinsi elimu inavyoweza kumfanyia mtu awe mbunifu na kujitegemea kama itafundishwa kwa mitaala mzuri, wewe umekuja na mijadala yako ya kutunga tunga ili ku accommodate idea zako binafsi. Eti America Kuna funds za software developments, huu uongo umetoa wapi? Napster yenyewe kwanza ilifungwa kwa kesi kibao maana ilikuwa ina violate music copyrights, halafu ndo useme ilikuwa funded na USA government?
Aliyetoa mfano wa medical graduate eti hawana capital ya kufungua hospitali naye yupo kwenye kifungo hicho hicho mnachohangaika wasomi wetu, hamna clue, ingekuwa elimu yetu ni nzuri mngekua mnaajirika kwenye mashirika ya kimataifa.
Wewe ni mjinga , una hata ideas ya ni vitu gani na resources au pesa kiasi gani zinakuwa injected mpaka hizo software zinaingizwa sokoni na kuwa consumed ?
Au wewe ni mmoja wa watu wapumbavu ambao ukiona software Tu na unatumia ,unadhani ni kama unavyoenda kuchuuza vitunguu Buguruni si ndio ?
Wewe ni layman
Kajadili simba na yanga ,mada nzito kama hizi haziwezi
 
Fanyeni vumbuzi au consultatations kwenye fani mlizosomea, mbona vijana wa ufundi veta wanaingiza kwenye kujiajiri straight,
Wewe ni mpumbavu ,unajua ni mambo gani yanahitajika kwenye huo uvumbuzi na research and development ?
Au ukisikia uvumbuzi unadhani ni kama watu wanavyoenda kubinua makalio kidimbwi na kucheza singeli ?
Nigg@ just shut the fvck up !
 
Fanyeni vumbuzi au consultatations kwenye fani mlizosomea, mbona vijana wa ufundi veta wanaingiza kwenye kujiajiri straight,
Umekaa hapo kwa shemeji yako jioni umevimbiwa kiporo cha viazi na kujambajamba ,unaandika upumbavu .
Nimekuuliza unajua ni nyenzo gani ,mazingira na vitu gani vinahitajika scholars kuanza kufanya vumbuzi ?
 
Hakuna mahala nimesema la saba ni bora kuliko garaduate, elimu yetu ina mapungufu Hilo ndo swala inatakiwa kufanyiwa kazi
Kama una akili na unaelewa English pitia hiyo documentary mwanzo mwisho , usiskip hata sekunde , halafu rudi hapa kuandika uharo wako unaondika humu .
Kama una akili timamu utajiona ulivyo mbumbumbu kama hao mbumbumbu wenzako .
Majibu ya maswali yote niliyokuuliza umeshindwa kujibu .
Pitia hiyo documentary uone vumbuzi zinafanyika vipi ,na ni vitu gani vinavyohitajika kufanya vumbuzi au ni mazingira gani ya nchi yanacreate incentives za watu kufanya tafiti na kuja na ground breaking discoveries zinazoleta impacts .
Acha uzoba wako wa kujifanya unajua vitu kumbe fala mmoja tu layman mchimba chumvi , unajadili suala la vumbuzi .
Unajua nini kuhusu vumbuzi Kenge wewe ?
Kajadili kukata viuno kwa nyimbo za singeli
Stupid

View: https://youtu.be/wrJsExM8D-o?si=x5Txz0evW8kXLndU
 
Watu tupo kitaa na tuna inventive ideas chungu mzima ,hebu niambie mtu mwenye ideas za kudevelop Ai and robotics products ,au biomedical instruments au nanotechnology au genetic engineering, quantum computing ,au space technology au Energy ,aviation anawezaje kutimiza ndoto zake nchi hii ?
Au unafikiri vikwazo vya engineer wa hapa Bongo katika issues za innovations ,R&d nk no sawa na mazingira na facilities + mifumo iliyopo mfano Marekani , China ,Germany ,Japan nk ?
Au wewe kwa akili yako inavyokutuma unadhani Engineer wa Marekani ana akili sana na ni inventive kumzidi Engineer wa Tz ?
Fanya judgement Kwa kucreate equal and fair platform halafu ndio utoe judgement .

Ni sawa na kumjudge mtoto anayesoma saint kayumba za huko kijijini na mazingira mabovu na umasikini anapofeli halafu ukamnanga na kumuona mtoto aliyefaulu kwa kupata division one kwa shule ya private ,na mazingira wezeshi kwa kila kitu kwamba ana akili zaidi ya kumzidi huyo aliyefail kwa maisha duni na mazingira mabovu na yasiyowezeshi .
Ukamjudge kwamba mtoto wa saint kayumba au shule ya serikali hana akili , ukifanya hivyo wewe ndio unakuwa huna akili .
 
Nchi ikitengeneza incentives za watu kuwa creative na kufanya innovations na hapa ninaposema incentives ni kutengeneza mazingira mfano hizo colleges na universities kuzitengezea funds za kutosha na kuhakikisha zinakuwa ni Research departments zilizo bora , kuhalika wanunuzi na wawekezaji wa ideas za kivumbuzi kutoka kila kona ya dunia kuja Tanzania kuona kilichopo kwa graduates wake , kama kinachofanyika kule Marekani Silicon valley , Carlifonia , inakuwa kama nanenane flani ila hii inakuwa very specigic kwa maonyesho ya vumbuzi za kiteknolojia , bidhaa na huduma zake .
Watu waonyeshe umaridadi wao na talents walizo nazo na ideas na prototypes walizo nazo .

Hamna atakayeambiwa awe innovative , watu wenyewe watajikita kuresearch na kudevelop ideas mpya na kuzigeuza kuwa products au services .
Lakini hii ya mtu anapiga Mihayo ya njaa kali anawaza Tonge la ugali , unafikiri huo utulivu wa akili na hata resources za kuimplememt ideas zake anapata wapi ?
Nchi ambazo raia 90 percent ya raia wake wapo wanawaza kupata basic needs , unafikiri watadevelop nini kwa mwendo huu ?
Si ajabu leo hii hata maprofesa wengi wanaukimbia uprofesa hilo vyuoni na wanaenda kupambana kuingia kwenye siasa ili wawe machawa maana njaa ni kali huko kwenye vyuo , ambapo kiuhalisia zilipaswa kuwa academic and research institutes .
Lazima wawaze kuwa wachuuzi wa chupi za kichina na kuuza vitunguu gengeni .
Kama hamna incentives ni ndoto hicho kitu kutokea .
Na hii si Tanzania tu ,hii ni systemic issue katika Nchi za Kiafrika .
Nenda popote Africa , ni yale Yale .
With few exceptions labda Misri na south Afrika ndio wanajitahidi ,ila nao hawako levels ambazo tunaweza kuwaita innovative economy .
Bado hawapo hata karibu ya kufikia levels hizo .
 
Leo hii mpumbavu mmoja kavimbiwa kiporo cha viazi na maharage yaliyochacha anawaponda wasomi kwamba sio wabunifu na ni useless .
Unamuuliza mtu kama huyu ,hivi hao ambao sio wasomi nchi hii wamepata patents ngapi za ubunifu na discoveries za bidhaa au huduma mpaka sasa nchini humu ?
Au patents zinazotambulika na ISO kimataifa ?
Kama atakujibu
 
Back
Top Bottom