Tusirudie tena Makosa Kwenye mchakato wa Katiba Mpya

Tusirudie tena Makosa Kwenye mchakato wa Katiba Mpya

Aaah!..jamaa alikuwa na madhaifu yake kama binadamu wengine, kuendelea kumfanya reference ya ubaya kila sehemu sio sawa.......

kumbuka bado wanaweza kuja wengine msiowajua mnaweza kusema afadhali yeye tena.
Hahaha ndio haitakiwi na sidhani kama deep state itarudia kosa lile.
 
Hizo pesa za kugharamia mchakato mpya wa kukusanya maoni na kuandaa Rasimu nani anatoa ?......ile ya Warioba ina tatizo gani mpaka itoswe ?.....
Kwa mujibu wa Rais alidai anataka kuleta Tume mpya kabisa ambayo haitakuwa Kama ya akina Warioba. Maana yake hakufurahishwa na akina Warioba.
 
Haina tatizo ila baada ya magufuli hata wanaccm wanaamini Rasimu ya Warioba haitoshi. Maana tusije pata magufuli mwingine.
Kweli mkuu rasimu ya Warioba ilikuwa Safi Basi tu CCM na uroho wa madaraka.
 
Aaah!..jamaa alikuwa na madhaifu yake kama binadamu wengine, kuendelea kumfanya reference ya ubaya kila sehemu sio sawa.......

kumbuka bado wanaweza kuja wengine msiowajua mnaweza kusema afadhali yeye tena.
Sidhani Kama Kuna kiongozi katili atakuja kama Magufuli. Akija Kama Magufuli watampindua mapema Sana.
 
Titulie tutengeneze katiba iliyo Bora inayoweza kukaa miaka 100 baada ya leo.
 
Kwa mujibu wa Rais alidai anataka kuleta Tume mpya kabisa ambayo haitakuwa Kama ya akina Warioba. Maana yake hakufurahishwa na akina Warioba.
Hakufurahishwa na kipi sasa ?....wajumbe wa tume au maoni yaliyokusanywa na tume ?
 
Chaguzi za 2024/25 zifanyike chini ya katiba mpya.

Katiba hii iwe kwa mujibu wa wananchi si chama cha siasa.

Uchawa na ufia vyama iwe kigezo cha kuwachuja wajumbe.
Unaota, katiba itapatikana baada ya 2025
 
Back
Top Bottom