Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahaha ndio haitakiwi na sidhani kama deep state itarudia kosa lile.Aaah!..jamaa alikuwa na madhaifu yake kama binadamu wengine, kuendelea kumfanya reference ya ubaya kila sehemu sio sawa.......
kumbuka bado wanaweza kuja wengine msiowajua mnaweza kusema afadhali yeye tena.
Kwa mujibu wa Rais alidai anataka kuleta Tume mpya kabisa ambayo haitakuwa Kama ya akina Warioba. Maana yake hakufurahishwa na akina Warioba.Hizo pesa za kugharamia mchakato mpya wa kukusanya maoni na kuandaa Rasimu nani anatoa ?......ile ya Warioba ina tatizo gani mpaka itoswe ?.....
Sidhani Kama Kuna kiongozi katili atakuja kama Magufuli. Akija Kama Magufuli watampindua mapema Sana.Aaah!..jamaa alikuwa na madhaifu yake kama binadamu wengine, kuendelea kumfanya reference ya ubaya kila sehemu sio sawa.......
kumbuka bado wanaweza kuja wengine msiowajua mnaweza kusema afadhali yeye tena.
Labda sio kwa Tz hii ya Ccm.....itakuwa Tz nyingine tofauti na hiiSidhani Kama Kuna kiongozi katili atakuja kama Magufuli. Akija Kama Magufuli watampindua mapema Sana.
Hakufurahishwa na kipi sasa ?....wajumbe wa tume au maoni yaliyokusanywa na tume ?Kwa mujibu wa Rais alidai anataka kuleta Tume mpya kabisa ambayo haitakuwa Kama ya akina Warioba. Maana yake hakufurahishwa na akina Warioba.
Wananchi yanga?Kweli kabisa. Inatakiwa wananchi tuwe mstari wa mbele Kwenye mchakato wa katiba, sio wanasiasa au vyama.
Unaota, katiba itapatikana baada ya 2025Chaguzi za 2024/25 zifanyike chini ya katiba mpya.
Katiba hii iwe kwa mujibu wa wananchi si chama cha siasa.
Uchawa na ufia vyama iwe kigezo cha kuwachuja wajumbe.