Tusishupaze shingo tukaruhusu raia wetu wapewe ukimbizi Mataifa ya nje kwa sababu za kiusalama na siasa

Labda nyinyi mafisadi uliokuwa mmezoea kuiba mali ya taifa hili. Mpaka mnyooke ndiyo Rais Magufuli atastaafu urais!!
Akistaafu ataishi kama panya,hawezi kujiachia kama kikwete!
Jitu liuaji litaishi kwa mashaka maisha yake yote!
 
Kiko wapi tambo zote,

Kaishia kuwa mikimbizi ndani ya nchi yake!

Beatrice Kamugisha
Jinga sana,kwa mantiki ndogo tu cdm wametuma wahuni wao wawili wamtishe aondoke.na kaingia mtegoni pwa.

Kwanini wamtishe wao wenyewe,yes wanamjua ni kigeugeu kashindwa vibaya urais,kawaponza wenzake,soon ataanza kugombania uenyekiti.

Hapo sasa,huyu mtu angetulia tu na taaluma yake siasa haimpendi kabisa.
 
Kuna mtu anaweza kusimama hadharani na kumkosoa Magufuli hadharani bila kuwa na mashaka na maisha yake?
Kwa nini uwe na mashaka wakati unakosoa ama shauri kwa staha! Ubaya wenu mnatanguliza lugha za kuudhi nyuma ya ukosoaji na ushauri!
 
Jinga sana,kwa mantiki ndogo tu cdm wametuma wahuni wao wawili wamtishe aondoke.na kaingia mtegoni pwa.

Kwanini wamtishe wao wenyewe,yes wanamjua ni kigeugeu kashindwa vibaya urais,kawaponza wenzake,soon ataanza kugombania uenyekiti.

Hapo sasa,huyu mtu angetulia tu na taaluma yake siasa haimpendi kabisa.
Sure.
 
Hii ndo sababu ya kufanya uchafuzi badala ya uchaguzi?
 
Labda nyinyi mafisadi uliokuwa mmezoea kuiba mali ya taifa hili. Mpaka mnyooke ndiyo Rais Magufuli atastaafu urais!!
Mmekariri, mi binafsi kipato changu sasa kiko vizuri kulinganisha na zamani.
Lakini jicho na sikio langu vinanipa taarifa za huzuni kuhusu nchi yangu. Hii haihusiani na mafisadi.
Isitoshe kilichofanyika ni kubadiri aina ya ufisadi, ufisadi umekomaa sana sasa na mafisadi ni walewale.

Tatizo limeongezewa tatizo kubwa.
 
Tanzania ni nchi inayoamini katika Demokrasia. Demokrasia ni mfumo unaoambatana na Uhuru wa kusema, Uhuru huo wa kusema umewekewa mipaka na sheria pamoja na katiba na hakuna mtu mwingine mwenye mamlaka ya kumhukumu aliyesema kwamba ametenda kosa bali nafasi ya kuhukumu imeachwa mahakama.

Upande wa pili Demokrasia inaambatana na Uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa. Katika kuchagua na kuchaguliwa pamewekwa neno haki, maana yake uchaguliwe kwa haki na pale ambapo ujachaguliwa kwa haki basi unayo haki ya kuhoji maamuzi yaliyotolewa kinyume cha sheria. Kuhoji huko nako kumeachiwa mahakama na si mtu mwingine.

Kitu cha tatu chini ya Demokrasia ni utawala wa sheria, maana yake kila Jambo linalofanywa na viongozi pamoja na wananchi lazima lizingatie sheria zilizowekwa. Lazima Jambo ilo lisimamiwe kwa uwazi na sheria zinazosimamiwa zijulikane kwa anayehukumiwa kwazo.

Pamoja na msingi huo, lipo tatizo kubwa linalotukumba na ambalo litaligharimu taifa lisiposema. Taifa limeanza kubadili Uhuru wa kusema, kusikilizwa, kuchaguliwa na kuchagua pamoja na misingi yote ya kidemokrasia na sasa limeingia katika misingi ambayo naweza iweka katika makundi matatu.

1. Ndani ya Tanzania unao Uhuru wakusema lakini hauna Uhuru baada ya kusema.
- Anayetafsiri ulichosema ni Cha kweli au si Cha kweli, Ni kosa au si kosa nk si mahakama Tena bali Ni wale waliokuzunguka wakiwemo waajiriwa wa wananchi. Hii siyo afya kwa Taifa, si afya kwa utawala Bora na si afya kwa Demokrasia yetu. Idadi ya watu walio ndani baada ya kusema inaongezeka kwa kasi sana jambo ambalo linawafanya watu waone hawana Uhuru ndani hivyo Bora wakaishi ukimbizini. Tukemeee.

2. Upo Uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa lakini hakuna Uhuru wa kujua nafasi ya kura yako kwenye kuchagua na kuchaguliwa.
- Kama Uhuru huu ukipokwa upo uwezekano wa kuwa na viongozi wasiotokana na wananchi, upo uwezekano wakuwa na viongozi wasiofaa, upo uwezekano ukawa na viongozi ambao awawezi kushirikiana na wananchi kupanga na kuamua juu ya vipao mbele vyao. Tuamue Sasa kuukataa Uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa au kupoteza kabisa. Lakini madhara ya kukosekana kwa Uhuru huu nikutengeneza mpasuko wa kisiasa na walioshindwa wanaweza amua kwenda kuusaka ukimbizi nje ya nchi na endapo wataupata Basi litakua doa kubwa sana kwa Taifa.

3. Upo Uhuru wa kuhojiwa lakini hakuna Uhuru wa kuhojiwa.
- Binadamu kwa utashi tu ni mdadisi, akinyimwa haki ya kuhoji atatamani aondoke kwenye jamii anayoishi akatafute maisha sehemu atakayopewa nafasi yakupumua angalau kwa kuhoji kidogo. Kuhoji ni chakula kikuu cha ubongo, Uhuru huu ukipokwa uzaliwa Taifa mfu.
Mie naona maneno mengi wala hata sielewi unasema nini hapa, hata kichwa cha thread hakieleweki. Wanaokupa like na kujibu sijui wanafanyaje hadi kukuelewa
 
hayo hayatuhusu kila mtu na uamuzi wake, maana kuna vidume wanajidai wana nguvu kuliko hata serikali yenyewe na majeshi yake. Kwamba wao ndo vidume, Je kwanini wasiishi kwa hofu??
 
Back
Top Bottom