Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Kuna msemo wa Kiswahili unaosema "Ukimkimbiza sana mjusi hugeuka kua nyoka na kukuuma"
Viongozi wa upinzani piganieni haki yenu ya Kikatiba kwa sasa. Ambayo ni kufanya mikutano ya hadhara hiyo ipo wazi. Simamieni hapo Katiba imewaruhusu na Mama hawezi kuzuia hilo. Anapaswa kuheshimu Katiba.
Ila hii agenda ya kutaka kuleta maandamano na taharuki kwa kudai Katiba mpya, you're being unfair to her. Why mnataka Katiba mpya? Because you believe it will favour you kisiasa in one way or another na hiyo ndio agenda yenu kuu out of Katiba the rest ni blah blah blah tu. And for her the current constitution favours her. Hivyo muhimu ni kukaa chini na kuafikiana jinsi ya kupata Katiba mpya. Plus, amesema yupo tayari kwa kuanza mchakato wa Katiba mpya na atalifanyia kazi Ila tu katika checklist yake haipo juu ila ipo somewhere along the list.
Kumlazimisha aendeshe nchi kutokana na matakwa yenu kuna hatari ya kutengeneza a monster out of her. Vyovyote iwavyo kuna njia nyingi sana kufanya sauti yenu isikike tunaishi zama za technology itumieni vizuri, tengenezeni maudhui ya kutosha watu tutaelewa. Simamieni msimamo wa mikutano ya hadhara hiyo ni haki yenu Ila kuingia mitaani kuleta taharuki kisa tu mnaamini she's a cool person ambaye ukimpush hataweza kuhimili pressure sio poa.
"Ukimkimbiza sana mjusi hugeuka kua nyoka na kukuuma"