Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,524
- 5,731
Mi najua katiba mpya lengo kuu siyo kufavour upinzani pekee bali watanzania wote, yasije tokea yaliyotokea awamu ya mwendazake (one man show) maana katiba ilimpa nguvu kubwa sana. Pia katiba mpya nina imani itasaidia mihimili kama mahakama na bunge kupunguza kuingiliwa zitatenda kwa haki na kujisimamia pasipo kusubiri maamuzi toka juu mawinguni.