Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Mikutano ya hadhara ni kitu kama kampeni hivi..hiyo mikutano iyokuwa anafanya Mbowe ni ya ndani.Majuzi Mbowe anazunguka nchi nzima kuna mtu alimzuia?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikutano ya hadhara ni kitu kama kampeni hivi..hiyo mikutano iyokuwa anafanya Mbowe ni ya ndani.Majuzi Mbowe anazunguka nchi nzima kuna mtu alimzuia?.
Kwani yuko wapi Sasa?. Jiwe Kawa udongo. yuko Mungu juu mbinguni ajibuye maombi. Naomba ajibu Pia jun ya wate walokuwa Wanamsupport jiwe Kwa Kuishi Kwa Misukosuko.Baada ya kugundua ameiba mlifanya nini
Kufa hata wewe utakufa piaKwani yuko wapi Sasa?. Jiwe Kawa udongo. yuko Mungu juu mbinguni ajibuye maombi. Naomba ajibu Pia jun ya wate walokuwa Wanamsupport jiwe Kwa Kuishi Kwa Misukosuko.
Mbowe kazingua mkuu!Huyu mama pamoja na kuwa ni ccm lakini hili jambo tukienda nae mdogo mdogo ataliweka sawa tu.Jinsi watu wanao support upinzan miaka yote humu wanavyo waponda chadema ..hata siamini..
Binafsi namshangaa sana Mbowe..
Anachuja haraka sana
Anataka kurejesha alivyoporwa na jiweJamaa dalali mzuri Sana aisee
Anaweza kukuuzia hata bandari kwa bei ya open space
Anataka kuandamana na mihadhara kwanza, uchumi badae
Lakini muumba ni mtenda haki, na hana upendeleo. Sidhani kama ni sahihi kufikiri atakuwa anatusikiliza sisi tu.Siku zote muumba anafyeka mwizi wa kula kama alivyotufanyia juzi
Kwahiyo ndio aandamanishe nchi nzima?Anataka kurejesha alivyoporwa na jiwe
Anataka mama amuite ampe bahasha atulie! chezea wataoto wa mjini weweKwahiyo ndio aandamanishe nchi nzima?
Mama hana sababu ya kumuita huyu jamaaAnataka mama amuite ampe bahasha atulie! chezea wataoto wa mjini wewe
Ulitaka amzikilize nani [emoji19]Lakini muumba ni mtenda haki, na hana upendeleo. Sidhani kama ni sahihi kufikiri atakuwa anatusikiliza sisi tu.