Tusitengeneze 'character' mpya ambayo Rais Samia hakuwa nayo

Mi najua katiba mpya lengo kuu siyo kufavour upinzani pekee bali watanzania wote, yasije tokea yaliyotokea awamu ya mwendazake (one man show) maana katiba ilimpa nguvu kubwa sana. Pia katiba mpya nina imani itasaidia mihimili kama mahakama na bunge kupunguza kuingiliwa zitatenda kwa haki na kujisimamia pasipo kusubiri maamuzi toka juu mawinguni.
 
Uko sahihi kabisa mkuu, Ila mchakato wa katiba una gharama zake je tuko tayari kuzibeba kwa sasa hivi kama nchi ama ni wanasiasa wanataka kuyafanya yanayowafurahisha wao?
 
Uko sahihi kabisa mkuu, Ila mchakato wa katiba una gharama zake je tuko tayari kuzibeba kwa sasa hivi kama nchi ama ni wanasiasa wanataka kuyafanya yanayowafurahisha wao?
Kama hazina fungu lipo hakuna budi kuanza huo mchakato. Muda ni sasa.
 
Kabisa Katiba inahitajika, but the question is how tunaipata? Na jiwe stated clearly haitaki na hakuna kitu walimfanya but mama kasema ataileta yet wanataka aione ikulu chungu
Kwa "watawala" wa Kiafrika unatarajia katiba itakwe kwa namna unayoielezea?You must be kidding!Kama katiba mpya iliyo bora ni muhimu sasa hizo njia unazozipendekeza kwa Afrika kuna sehemu unakwama sana.Think and think twice as much!😝😝😝😝😝😝
 
Miaka mitano ya jiwe itoshe kukuonyesha jinsi gani katiba hii ilivyo na mapungufu makubwa ambayo viraka havitoshi tena bali vazi jipya linahitajika.
Tatizo halikuwa katiba Bali ni usimamizi wake, kama hatuwezi kuilinda na kuisimamia katiba iliyopo...hiyo katiba mpya itakuwa na maajabu gani?
Mnataka kusema hiyo katiba mpya itakuwa na Uwezo wa kujisimamia yenuewe..

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Wamuache mama bwana,mbona wanataka kuanza kumyumbisha she is fair! Wasitake aanze mabavu
 
Ishu ya mikutano ya hadhara ipo kwenye katiba ya nchi ambayo inabidi kuheshimiwa kuliko kitu chochote.
 
Ana points na busara nzuri Sana akiamua

Lakini kabla hata hatujapona vidonda na makovu ya akila Aquilina, yeye kaona tuanze kuandamana tena

Nimeshindwa kumuelewa....

He needs to let people heal, settle, reflect and focus on some bigger things kwanza
 
Hana utulivu wa akili mwenyekiti wenu anakuwa kama wale madem wembamba wa uswahilini wakipandisha vichaa vyao midomo inaropokwa tu bila breki!
 
Jinsi watu wanao support upinzan miaka yote humu wanavyo waponda chadema ..hata siamini..

Binafsi namshangaa sana Mbowe..
Anachuja haraka sana
Wanataka kumpanda Mama kichwani
 
Hana utulivu wa akili mwenyekiti wenu anakuwa kama wale madem wembamba wa uswahilini wakipandisha vichaa vyao midomo inaropokwa tu bila breki!
Yule ni mwenyekiti wa chadema
 
Mama yupo sana sio wakati mzuri wa katiba mpya
 
Jinsi watu wanao support upinzan miaka yote humu wanavyo waponda chadema ..hata siamini..

Binafsi namshangaa sana Mbowe..
Anachuja haraka sana
Bcz Roho ya Upole ya Malkia wa Nchi inatawala..
Ila yeye anataka kuleta vurugu

nani atamuunga mkono?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…