'Tusivifokee' vyombo vya habari vya nje kuripoti taarifa kuhusu hali ya Rais Magufuli!

'Tusivifokee' vyombo vya habari vya nje kuripoti taarifa kuhusu hali ya Rais Magufuli!

Tunapinga uongo wao siyo habari zao,. Wawe wakweli,
Kama ni waongo sawa!!ajitokeze yeye basi hadharani aseme yeye yupoooo ngangari.km alivo tumbua kina wafanyakazi fake.anakimbia kimbia nini. Anaweza kuwa ras fake km anavoitaga wengine.afya haimruhusukuwa rais wenu
 
Wewe lazima utakuwa mlamba viatu wa ikulu. Mfaidika na mapesa ya kuwabana watu.hata mtoto wake hawezi sena haya. Unajipendekeza kiasi cha kujidhalilisha. Mambo yako wazi anaumwaa sana hata akipona atakuwa nusu zezeta.si ajabu kesha vuta huyo.
 
Hili halijadhibitisha kauli yako kwamba 'BBC na CNN wali report Kim amefariki'

Weka source/s hapa zinazoonesha bila bila kona yoyote kwamba BBC na CNN wali report Kim amefariki
hawa ni wale wapotoshaji ili wabongo wasiamini CNN
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Hivi Mbwa anaweza Kumfokea Simba?
Ndiyo anaweza!!!
kuna mbwa shujaa usipime tena simba akasepa mbaya! Na asirudie tena ujinga.
Simba wengi tu wanamkimbia fisi tena mmoja tu.
Nyerere alikuwa anawafokea km watoto wadogo.kwa dharau akampa malkia kifimbo cha salam nani anaweza?
 
Hivi kama vyombo vya habari vya hapa nchini "tumevipiga" kabali, ili visifurukute.

Vyombo vya habari vya nje vikifanya kazi ya kuhabarisha Wananchi, ni kwanini tuvipige mkwara?
Askofu Mwamakula umetoa nondo safi. Najua kuna watu watanuna kjtokana na nondo hiyo lakini ndo ukweli wenyewe.
 
Jamani naomba mjadala ufungwe kuna mijamaa ina mabaka mabaka ina pitapita humu! Kwa vishindo vya buti kukita sakafu.
 
mimi siyo muhanga. Hyu dikteta yuko india kimatibabu
Baada ya Nairobi kushindwa kumtibu waka mrefaaa india.
Katiba yetu inasema rais asipofanya kazi week moja nzima . Ajiuzulu kiti achukue makamu wake
🤣🤣
 
Ha

Pengine huji ila walilipoti ingawa hawajuwa na uhakika, na ndo maana trumpu aliwaambia hategemei kama kim amefariki na akasema hawezi kuiamini CCN
Mkuu

Nadhani inafahamika wazi feud iliyokuwepo kati ya Trump na vyombo kadhaa vya habari ikiwemo Sky

Kutegemea Trump kuwa endorse Sky ni dhana ambayo hai exist

Okay, turudi kwenye mada-;

Mdau hapo juu amesisitiza kwamba Sky na BBC wali report kifo cha Kim

Nikakanusha, hata hivyo nikampa option ya kutetea hoja yake kwa kuleta link hapa

Hakuleta (maana haipo), sasa mimi ntaweka source ya Sky inayozungumziwa

Utagundua hawakusema jamaa amefariki, walisema kuna tetesi jamaa ni mgonjwa

Tetesi ambazo zilisambazwa na chombo cha habari cha kikorea

Angalia report ya CNN hapa


BBC wao ndo hawakuwepo kabisa kwenye hilo saga
 
mimi siyo muhanga. Hyu dikteta yuko india kimatibabu
Baada ya Nairobi kushindwa kumtibu waka mrefaaa india.
Katiba yetu inasema rais asipofanya kazi week moja nzima . Ajiuzulu kiti achukue makamu wake
Hio katiba sijawahi kuiskia huenda ni katiba yako.nyie endeleeni kumtafuta safa na kick Kwa watu lakini mkikamatwa mnaliaga kama mademu.
 
Hio katiba sijawahi kuiskia huenda ni katiba yako.nyie endeleeni kumtafuta safa na kick Kwa watu lakini mkikamatwa mnaliaga kama mademu.
Umesoma shule ya kata huko!! sasa je!! utajua katiba kweli?? Kwanza katiba ni nini...tuanzie hapo Mkuu??? shule huna ya kutosha.

Eti tukiongea tuna kamatwa?? Kwa kuwa wa kweli au!!!
Hapa Unakiri ni uongozi wa hovyo wa mweusi!

Yaani hapo ndo watajua nimesoma sana
nitakamatwa kwani nimemroga mimi?? Au ndo atapona??? Ok nitaenda lupango halafu utanenepa au!!!
 
Umenyamaziwa. Unatuona wajinga kama wewe. Unaenda mbali sasa. Unaparamia mwamba Mwamakula. Biblia hujaijua. Kunukuu Biblia hujamfikia Shetani. Alinukuu hadi akaambiwa aende zake. Suala si kunukuu bali uelewa. Mistari yote uliyonukuu imekupiga chenga. Naona umekazana na fimbo ya Haruni. Vile fimbo ya Musa unaijua? Nenda zako pepo mchafu!
 
Jp Is sick this is serious Naked so we don't Need further infor.. .

As it is still Alive let's wish him quickly recovery In God we trust.
 
Serikali ya tz inabana hbr hata ambazo hazikustahili, waandish wa ndani wanatii kwa sababu wako ndani ya dola, lkn vyombo vya nje haviwezi kuogopa kuripoti habari ambazo ni sahihi, hata kuripoti maovu ya viongozi wanaripoti tu. Sasa wanasiasa hawa huwa hawana cha kuongea zaidi ya kusema hivi vyombo vinatuchafua, na wananchi wapumbavu wamekuwa wakiya2mia maneno hayo bila kujua kwmb ni mbinu 2 za wanasiasa. Shughulisheni akili japo kidogo, co kuyachukua 2 maneno huku ubongo umetulia bila kufanya kazi; huo ndio unaitwa uvivu wa kufikiri
.
 
Jp Is sick this is serious Naked so we don't Need further infor.. .

As it is still Alive let's wish him quickly recovery In God we trust.
let him die. ni hasara. pamoja na mambo mengi amefilisi sn uwezo wa watu wa kufikiri. huweziamini, wa2 wamekuwa wakitoa hoja mbov sn za siasa ktk kpnd chake. litakuwa taifa gani la watu wasiojiweza kifikra? i wish Mama Samia achukue hatamu.
 
Mkuu usipotoshe uma

Hakuna source yoyote kutoka BBC, neither CNN iliyowahi kusema Kim amefariki.

Walicho report wao ni kuhusu Kim kuwa mgonjwa, vinginevyo thibitisha kwa kuweka link hapa
Ni kweli hakuna source yoyote iliyosema Kim amefariki bali Media zilisema alikuwa amefanyiwa operation labda ndo maana alikuwa kimya na bila kuonekana muda mrefu na alipopata nafuu alijionyesha kwa kwenda kukagua makombora mapya. Prince Philip, mume wa Malikia, amekuwa hospitali mwezi mzima na leo ndo ametoka lakini wakati wote taarifa za hali yake zimekuwa zikitolewa mara kwa mara na kutembelewa na mtoto wake na wajukuu na vitukuu. Rais wetu kama yuko nchini pale Ikulu kuna Wafanyakazi wenzake wengi sana wa kumsemea ikiwa ni pamoja na Bashiru, Msigwa na hapo karibu Hassan lakini nao wanakaa kimya, anasemewa na Balozi aliyoko Namibia, RC wa Mbeya, Waziri Mkuu Msikitimi Njombe na Makamu wa Rais akiwa Korogwe. Media za nje zilitaarifu kuwa alikuwa Nairobi Hospital wakati mmoja na Odinga baadaye ikasemekana ameondoka kwenda India akiwa Comatose labda ndo sababu ya ukimya lakini Watanzania wanataka kujua tu yuko wapi na yu hali gani. Kuna kitu kinafichwa hapa!
 
Namtakia afya njema Rais wetu wa awamu ya tano. Mh John Magufuli.
Mimi pia namtakia maisha marefu yenye afya tele makamu wetu wa Rais Mheshimiwa na mama yetu mpendwa Samia Suluhu..

Kila la kheri kwenye majukumu yako mama yetu mpendwa....
 
Back
Top Bottom