Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Eeee bhana eeeeUhuru wa kuku wa kienyeji ni tofauti kabisa na kuku wa kufugwa bandani.
Wa kienyeji hula atakacho , huenda atakako. Huyu wa kufugwa bandani yuko chini ya uangalizi 24/7 na ana limitations kwenye kila kitu.
Ni ajabu ya mwaka kama kuku wa bandani hatamuonea wivu kuku wa kienyeji.. Waandishi wa bongo wamekuwa kama yale makuku ya kufugwa.
Tunayaita MAZEZETA.