Kama ni waongo sawa!!ajitokeze yeye basi hadharani aseme yeye yupoooo ngangari.km alivo tumbua kina wafanyakazi fake.anakimbia kimbia nini. Anaweza kuwa ras fake km anavoitaga wengine.afya haimruhusukuwa rais wenuTunapinga uongo wao siyo habari zao,. Wawe wakweli,
hawa ni wale wapotoshaji ili wabongo wasiamini CNNHili halijadhibitisha kauli yako kwamba 'BBC na CNN wali report Kim amefariki'
Weka source/s hapa zinazoonesha bila bila kona yoyote kwamba BBC na CNN wali report Kim amefariki
Ndiyo anaweza!!!Hivi Mbwa anaweza Kumfokea Simba?
Askofu Mwamakula umetoa nondo safi. Najua kuna watu watanuna kjtokana na nondo hiyo lakini ndo ukweli wenyewe.Hivi kama vyombo vya habari vya hapa nchini "tumevipiga" kabali, ili visifurukute.
Vyombo vya habari vya nje vikifanya kazi ya kuhabarisha Wananchi, ni kwanini tuvipige mkwara?
🤣🤣mimi siyo muhanga. Hyu dikteta yuko india kimatibabu
Baada ya Nairobi kushindwa kumtibu waka mrefaaa india.
Katiba yetu inasema rais asipofanya kazi week moja nzima . Ajiuzulu kiti achukue makamu wake
MkuuHa
Pengine huji ila walilipoti ingawa hawajuwa na uhakika, na ndo maana trumpu aliwaambia hategemei kama kim amefariki na akasema hawezi kuiamini CCN
Hio katiba sijawahi kuiskia huenda ni katiba yako.nyie endeleeni kumtafuta safa na kick Kwa watu lakini mkikamatwa mnaliaga kama mademu.mimi siyo muhanga. Hyu dikteta yuko india kimatibabu
Baada ya Nairobi kushindwa kumtibu waka mrefaaa india.
Katiba yetu inasema rais asipofanya kazi week moja nzima . Ajiuzulu kiti achukue makamu wake
Umesoma shule ya kata huko!! sasa je!! utajua katiba kweli?? Kwanza katiba ni nini...tuanzie hapo Mkuu??? shule huna ya kutosha.Hio katiba sijawahi kuiskia huenda ni katiba yako.nyie endeleeni kumtafuta safa na kick Kwa watu lakini mkikamatwa mnaliaga kama mademu.
Anaweza na simba ana lala mbele mbona kuna video kabisa iliwahi onyeshwaHivi Mbwa anaweza Kumfokea Simba?
Safi sana....===
Najua unaweza kuhamisha magoli eti huyo mbwa alitafuna kijiti cha Malawi au Tarime.
let him die. ni hasara. pamoja na mambo mengi amefilisi sn uwezo wa watu wa kufikiri. huweziamini, wa2 wamekuwa wakitoa hoja mbov sn za siasa ktk kpnd chake. litakuwa taifa gani la watu wasiojiweza kifikra? i wish Mama Samia achukue hatamu.Jp Is sick this is serious Naked so we don't Need further infor.. .
As it is still Alive let's wish him quickly recovery In God we trust.
Simba wote walipigwa na mshangazo, mbwa anachechea halafu anawabwekea, mbwa kweli kawapata wanyonge wake ( katika tune ya Remmy Ongala wimbo 'kipenda roho') !! Ha ha haaa!
Ni kweli hakuna source yoyote iliyosema Kim amefariki bali Media zilisema alikuwa amefanyiwa operation labda ndo maana alikuwa kimya na bila kuonekana muda mrefu na alipopata nafuu alijionyesha kwa kwenda kukagua makombora mapya. Prince Philip, mume wa Malikia, amekuwa hospitali mwezi mzima na leo ndo ametoka lakini wakati wote taarifa za hali yake zimekuwa zikitolewa mara kwa mara na kutembelewa na mtoto wake na wajukuu na vitukuu. Rais wetu kama yuko nchini pale Ikulu kuna Wafanyakazi wenzake wengi sana wa kumsemea ikiwa ni pamoja na Bashiru, Msigwa na hapo karibu Hassan lakini nao wanakaa kimya, anasemewa na Balozi aliyoko Namibia, RC wa Mbeya, Waziri Mkuu Msikitimi Njombe na Makamu wa Rais akiwa Korogwe. Media za nje zilitaarifu kuwa alikuwa Nairobi Hospital wakati mmoja na Odinga baadaye ikasemekana ameondoka kwenda India akiwa Comatose labda ndo sababu ya ukimya lakini Watanzania wanataka kujua tu yuko wapi na yu hali gani. Kuna kitu kinafichwa hapa!Mkuu usipotoshe uma
Hakuna source yoyote kutoka BBC, neither CNN iliyowahi kusema Kim amefariki.
Walicho report wao ni kuhusu Kim kuwa mgonjwa, vinginevyo thibitisha kwa kuweka link hapa
Mimi pia namtakia maisha marefu yenye afya tele makamu wetu wa Rais Mheshimiwa na mama yetu mpendwa Samia Suluhu..Namtakia afya njema Rais wetu wa awamu ya tano. Mh John Magufuli.