Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Eeee bhana eeeeUhuru wa kuku wa kienyeji ni tofauti kabisa na kuku wa kufugwa bandani.
Wa kienyeji hula atakacho , huenda atakako. Huyu wa kufugwa bandani yuko chini ya uangalizi 24/7 na ana limitations kwenye kila kitu.
Ni ajabu ya mwaka kama kuku wa bandani hatamuonea wivu kuku wa kienyeji.. Waandishi wa bongo wamekuwa kama yale makuku ya kufugwa.
Tunayaita MAZEZETA.
Afya gani sasa pale alipo kwenye mashine?Namtakia afya njema Rais wetu wa awamu ya tano. Mh John Magufuli.
kweli tupu hii.i ajabu ya mwaka kama kuku wa bandani hatamuonea wivu kuku wa kienyeji.. Waandishi wa bongo wamekuwa kama yale makuku ya kufugwa.
Tunayaita MAZEZETA.
Mkuki Kwa nguruwe, Jiwe nae adhalilike kama anavyodhalilisha wenzie. Mpango nimemshusha heshima Tumbo linamsababisha ajidhalilishe kiasi hiki!Nenda kwenye point acha kugombana na Askofu Mwamakula. Kama Meko yupo hai naye si mumlazimishe akaongee na vyombo vya habari kama alivyomlazimisha Dr Mpango aongee akiwa na catheters mkononi.
La sivyo tutaendelea kuhoji mpaka mumzike au mumfufue
achana nao.Jamani naomba mjadala ufungwe kuna mijamaa ina mabaka mabaka ina pitapita humu! Kwa vishindo vya buti kukita sakafu.