Tusiwabeze wanaosomesha watoto shule za Tsh. Milioni 40

Kama una mpunga msomeshe mwanao hata Yale au MIT hakuna shida ila kama tia maji tia maji usiumize kichwa mpeleke "kayumba" tu.
 
Ni ujinga na wendawazimu kusomesha watoto shule za million40 ilihali mtawala wnaosoma kayumba na wao ni uleule
Sio ujinga ni uwezo mkuu. Kuna mtu anataka watoto wake wapate best education he can afford ndio anaangukia humo.
 
Ni ujinga na wendawazimu kusomesha watoto shule za million40 ilihali mtawala wnaosoma kayumba na wao ni uleule
Milioni 40 tu? Hat milioni 200 ni sawa tu kama unao huo uwezo.

Elimu ndiyo urithi bora kabisa wa kumpatia mwanao.

Sizidharau St. Kayumba kwa sababu ndizo zilizonifanya mpaka sasa naweza kuingia JF, lakini, kwa shule nyingi za hilo kundi, Elimu yake ni kama ya kubahatisha.

Kama Kiingereza tu kinampiga Mwalimu chenga, unafikiri ataweza kumsaidia mwanao kuwa mahiri katika lugha na masomo mengine?
 
Ni kweli, kwenye vikao vya shuleni ukienda kwa miaka mitatu hivi unaweza kupata connection, hata ile tu mtoto wenzake wanakuja kumtembelea ama anaenda kwa wenzake, wazazi mkijuana kuna vitu viki click unakuta umelamba dili.
hapa inataka uthubutu tu.
 

Nilikuwa napanda school bus nikaenda Tambaza na moto mmoja alikuwa anasoma pale Agha Khan mzizima Friday ilikuwa Ni fashion week mixture vimini syllabus Cambridge rahisi kusoma ila ajira huangaiki kama Sisi wa kayumba😂😂😂.. physics unakesha na bado matokeo Ni Namba za kiatu..🚀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…