Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Hamna kitu mazee, labda wewe unaeza kunisaidianenda kwenye tovuti mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu mazee, labda wewe unaeza kunisaidianenda kwenye tovuti mkuu!
changia kwanza tukutumie manifesto mkuu!!Hamna kitu mazee, labda wewe unaeza kunisaidia
Hasee ...! nimesikia hoja ya mishahara minono kwa ndg zetu watumishi. Nilitegemea kuyakuta hayo kwene manifesto, kumbe hata manifesto yenyewe hai-exist!changia kwanza tukutumie manifesto mkuu!!
Duh na hawaoni aibu kutaka kujihusisha nao nyakati hiziChama cha wafanyakazi kiliwaalika lakini hawakuwahi kwenda..walisusa
Umeanza uongo.mbona mimi mtumishi wa umma nimepandishiwa??
Hawa watu inabidi tuwafanyie utafiti, vichwani mwao kunani?Kujua matatizo ya Wakulima mpaka uhudhurie Nane nane? Kama ni hivyo utakufa bila kujua matatizo ya Wavuvi.
Mkuu, heading ya uzi imemaliza kila kitu; ulichotakiwa kufanya ni kupingana naye kwa hoja kwa kuleta takwimu za miaka ambayo chadema imehudhuria sherehe za wafanyakazi.Hivyo tu..? Uzi mbona hauna nyama huu..😂
Hii hapa
Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Chadema ni mwajiri??lini Chadema ilikutana na TUCTA?
Wao wanawalipa wasanii hahahaMataga na akili za kujazwa kwenye malori.
Yani MaCCM nyie mnawaza sherehe wakati sisi tunadeal na salary slip.
Chadema kuwalipa wafanyakazi ongezeko la mishahara la miaka 5 ambalo Mzee Pombe ametumia kulitapanya kununua wapinzani feki na kujenga uwanja wa ndege nje kwake.
Tumepanda vyeo labda kama upo misinformed
Clips zipo na malalamiko ya vyama vya wafanyakazi yapo.
by the way kwa sasa mfanyakazi wa serikali anaheshimika kuliko mfanyabiashara.