Tusiwadanganye wafanyakazi. CHADEMA haijawahi kuhudhuria Sherehe za Wafanyakazi kwa miaka mitano

Tusiwadanganye wafanyakazi. CHADEMA haijawahi kuhudhuria Sherehe za Wafanyakazi kwa miaka mitano

ni bora usihudhurie kuliko kwenda kuwachora,watu kwa miaka 5 mfululizo wanakulilia shida zao ila hufanyi kitu
 
Hivyo tu..? Uzi mbona hauna nyama huu..😂
Mkuu, heading ya uzi imemaliza kila kitu; ulichotakiwa kufanya ni kupingana naye kwa hoja kwa kuleta takwimu za miaka ambayo chadema imehudhuria sherehe za wafanyakazi.
 
Wafanyakazi wa nchi hii walikuwa na lipi la "kusheherekea" kwenye miaka hii mitano?
 
Wapiga kelele tuu mbona hawajawahi kuupagania masrahi ya wafanyakazi bungeni sasa hivi ndio kumekucha
 
CHADEMA wangehudhuria sheria ambazo shetani alikuwa akidanganya miaka mitano!? CHADEMA ingehudhuria kushughudia shetani akidai aombewe ili atese wazee wa watu kwa kigezo cha wafanyakazi hewa! Surely? Mtu amekuwa mwalimu na amepasisha madaktari na maprofesa kibao kwa miaka 30 halafu leo unakuja na ushetani wako unafunika pua "vyeti fyeki" unamnyima haki zake zote. Huu ni ukhanithi by Maalim!
 
shida za wafanyakazi zipo dhahiri na zimekuwa zikielezwa hata bungeni ambamo wabunge wote wapo, hivyo huhitaji kwenda May mosi ndio ujue shida zao.
Sasa tuambie mgeni rasmi wa May mosi kwa miaka mitano ameweza kufanya nini zaidi ya kuelezea nyege na barabara

Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.

Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Mataga na akili za kujazwa kwenye malori.

Yani MaCCM nyie mnawaza sherehe wakati sisi tunadeal na salary slip.

Chadema kuwalipa wafanyakazi ongezeko la mishahara la miaka 5 ambalo Mzee Pombe ametumia kulitapanya kununua wapinzani feki na kujenga uwanja wa ndege nje kwake.
Wao wanawalipa wasanii hahaha
Wasani ndy kipaumbele chao

Ova
 
Watu wanazungumzia maslahi wewe unazungumzia heshima, heshima bila pesa ni u mission town tu
Clips zipo na malalamiko ya vyama vya wafanyakazi yapo.
by the way kwa sasa mfanyakazi wa serikali anaheshimika kuliko mfanyabiashara.
 
Hata walioko gerezani wanajua shida za wafanyakazi, hii akili ya wapi au wewe uko dunia ipi?
 
Back
Top Bottom