Tusiwasimange wanawake kwa kuchelewa kuolewa

Tusiwasimange wanawake kwa kuchelewa kuolewa

Kweli mtoa mada umenena kama vile pastor upo madhabahuni.
Kuna dada 2 nawafahamu wanahangaika sana kuolewa mpaka mwingine kaniambia akipata mwanamume anatamani aolewe na apart watoto mapacha maana kachelew kuzaa.

Anawaza hivyo akati hata mume mwenyw hajampata.!
Hio tamaa ndio inawafanyaga watu washindwe kuwa wavumilivu na maisha ya ndoa! Maana akimpata huyo mume akaonekana kwa wenzie tayari na mtoto kazalishwa zinaanza kero sasa za kutaka uhuru 😅😅😅 na kutowajibika na ndoa
 
Tupo wengi tu masingle mother ,tukiamua kuolewa huwa tunafanya kila liwezekanalo kuifanya ndoa iwe na maana kwakila nyanja
Kwa hiyo bado hujaamua kuolewa ? Tuanzie hapa ,
 
Wanawake wengi wenye kazi zao hawapendi kuolewa!
Wengi wanaoolewa wana dependence ya aina fulani kwa mwanaume.
Hata hao wanaojifanya wamemiss usingle, kadri umri unavoenda unamuhitaji mwenza kuliko maelezo, kuna mda unatamani joto la binadamu mwenzako kuliko godoro na blanket
 
Tupo wengi tu masingle mother ,tukiamua kuolewa huwa tunafanya kila liwezekanalo kuifanya ndoa iwe na maana kwakila nyanja
Hakunaga single maza bna Mama Ni Mama hata kama huna ndoa.sema Kuna single parent
 
Single Mother wengi vichomi japo sio wote,nakumbuka mjomba wangu ameoa akiwa kama na miaka 40,alimuoa single mother aliyepewa mimba shule ila kajiendeleza mpaka chuo.

Yule shangazi alikuwa anampenda mjomba na alimbadilisha mjomba sisi wenyewe hatukuamini,mjomba alikuwa mtu wa fegi, bange na mitungi,halafu maisha yake ya ujana yalikuwa fujo sana.Ila tokea aoe bangi na sigara kaacha ila pombe kapunguza, mwili umerudi na akajenga nyumba mbili na gari faster mpaka kanisani akawa anaenda.

Ila kumpata kama aliye mpata mjomba wangu shughuli.
Aisee!. Kumbe kuna Singo Maza wenye baraka toka kwa Mungu.
Mpe hongera zake kwa kuwaheshimisha ma- singo Maza wengine
 
Single Mother wengi vichomi japo sio wote,nakumbuka mjomba wangu ameoa akiwa kama na miaka 40,alimuoa single mother aliyepewa mimba shule ila kajiendeleza mpaka chuo.

Yule shangazi alikuwa anampenda mjomba na alimbadilisha mjomba sisi wenyewe hatukuamini,mjomba alikuwa mtu wa fegi, bange na mitungi,halafu maisha yake ya ujana yalikuwa fujo sana.Ila tokea aoe bangi na sigara kaacha ila pombe kapunguza, mwili umerudi na akajenga nyumba mbili na gari faster mpaka kanisani akawa anaenda.

Ila kumpata kama aliye mpata mjomba wangu shughuli.
Mjomba hakuchagua matako wala matiti wala sura ila,amechagua mwanamke anayempenda na kumjali nyie mnaponda single mother kila daily sasa mtapataje sahihi sana
 
Mi nimeolewa,hatuongoz kwa kufa ila tunaongoza kwa stress na ndoa zetu.Sitoacha kutetea single mothers wala wasichana age 30s ambao bado hawajaolewa coz ndiko nilikotoka na sijaona umuhimu wa ndoa kiukweli.Nimemiss usingle wangu
Nakuelewa kabisa, na iyo imetoka ndani ya moyo wako....
 
Kuolewa Ni mipango tu.kuolewa uolewe na perfect match
Kama uliolewa ili uonekane utakoma
Maisha Ni mipango tu furaha yako utaiset mwenyewe
Hakunaga uperfect kwa mwanadamu woote tuna mapungufu kinachotusaidia ni umpate anayeweza kuyabeba mapungufu yako, akakuelewa unataka nini, akawa na moyo wa huruma na upendo n vaisvesa!
 
Wanawake wengi wenye kazi zao hawapendi kuolewa!
Wengi wanaoolewa wana dependence ya aina fulani kwa mwanaume.
Hata hao wanaojifanya wamemiss usingle, kadri umri unavoenda unamuhitaji mwenza kuliko maelezo, kuna mda unatamani joto la binadamu mwenzako kuliko godoro na blanket
Kuna ka ukweli hapa,jamani kuwa single sometimes kunachosha lakini basi tu
 
Kuna mdada pia aliwahi kuniambia ni bora angekua single kuliko ndoa aliyonayo.

Huwa mnapitia nini huko ndoani mpaka muwe na hali kama hiyo kina dada??
Achana na hiyo, kuna muda inafikia hata unatamani kuwa mjane wakati wowote😢😢😢😢 ......kuna jirani yangu alifiwa na mumewe, sasa ana pacha wake akawa amekuja pale kumuona na yeye ameolewa ujue yule dada akawa anamtamania pacha ake alofiwa anamwambia bora wewe ndugu yangu natamani wangu ndo angekuwa amefariki
 
Kuna mtu toka day one unaona hamuendani sema wengi wanaforce ndoa.
Labda kwa hizi ndoa za siku hizi ambazo wanaforce adi kujitolea mahari.....ila nijuavyo ndoa karibia 98% ni kubebeana mapungufu ya kila mmoja tu coz ukiskiliza hata za mababu unaweza ukaona kumbe ndoa yangu haina shida kabisa wacha nikae nitulie ni mpito tu huu
 
Kuolewa Ni mipango tu.kuolewa uolewe na perfect match
Kama uliolewa ili uonekane utakoma
Maisha Ni mipango tu furaha yako utaiset mwenyewe
Alafu sasa jambo lingine ambalo vijana hawajajua hasa mabinti wanaingiaga kwenye ndoa wakiwa na mindset yao kichwani kwamba huyu wangu ni wa tofauti.....eti wanafikiri urafiki wa kimapenzi wa kukutana masaa kwa kuiba ndivyo itavokuwa kwenye ndoa!!! Mwanzoni inatesa sana hii
 
Wanawake wengi wenye kazi zao hawapendi kuolewa!
Wengi wanaoolewa wana dependence ya aina fulani kwa mwanaume.
Hata hao wanaojifanya wamemiss usingle, kadri umri unavoenda unamuhitaji mwenza kuliko maelezo, kuna mda unatamani joto la binadamu mwenzako kuliko godoro na blanket
Uongo huoooooo unakuta hajatokea wa kumtamkia kuoa! Ni wangapi wana pesa nà kujiweza lakini inapofika muda wa kuolewa mwanaume amepatikana anaolewa pamoja na pesa zake?? Kuolewa ni ndoto ya kila mwanamke hata ujiweze kinamna gani na ndo maana inafikia watu wazima wanaoa vibenten ili tu aitwe mke wa mtu.....
 
Kuna ka ukweli hapa,jamani kuwa single sometimes kunachosha lakini basi tu
Kiuhalisia mwanamke ambaye hajawai kuolewa akaishi na mwanaume ktk maisha ya ndoa hata kama akamilike kimaisha namna gani tamanio lake la kuolewa haliishi adi anazeeka......kwa watu utakuta anatoa kauli za "sizitaki mbichi hizi" lakini mgogoro wa moyoni mwake kutamani kuolewa hauishi.....
 
Back
Top Bottom