Tusiwasimange wanawake kwa kuchelewa kuolewa

Halafu nimegundua wenye ndoa zenye migogoro ilokithiri ndio wako na hizi swaga. Sasa sijajua inawapa amani ya moyo kidogo au wanakuwa wanaona wenye wako single wanafaidi hivyo waingie huko nao yawakute kidogo au[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Ila all in all hakuna maisha yasiyo na changamoto na siku zote binadamu hutamani asichokuwa nacho. Ila hakuna upumbavu kama kufanya jambo kwasababu ya shinikizo la watu. Just live yo life, be you and do you.
Unaolewa lini?
 
Kiuhalisia mwanamke ambaye hajawai kuolewa akaishi na mwanaume ktk maisha ya ndoa hata kama akamilike kimaisha namna gani tamanio lake la kuolewa haliishi adi anazeeka......kwa watu utakuta anatoa kauli za "sizitaki mbichi hizi" lakini mgogoro wa moyoni mwake kutamani kuolewa hauishi.....
Wewe mrembo umeupiga mwingi kweli kwenye huu uzi.
 
Single Mother wengi vichomi japo sio wote,nakumbuka mjomba wangu ameoa akiwa kama na miaka 40,alimuoa single mother aliyepewa mimba shule ila kajiendeleza mpaka chuo.

Yule shangazi alikuwa anampenda mjomba na alimbadilisha mjomba sisi wenyewe hatukuamini,mjomba alikuwa mtu wa fegi, bange na mitungi,halafu maisha yake ya ujana yalikuwa fujo sana.Ila tokea aoe bangi na sigara kaacha ila pombe kapunguza, mwili umerudi na akajenga nyumba mbili na gari faster mpaka kanisani akawa anaenda.

Ila kumpata kama aliye mpata mjomba wangu shughuli.
Wapo single mother mzur ni yule hasiye zalisha ndan ya ndoa na ambaye haja zalishwa boyfriend wake walio dum kwenye uchumba miaka ming na mwanaume haka muacha
 
Single Mother wengi vichomi japo sio wote,nakumbuka mjomba wangu ameoa akiwa kama na miaka 40,alimuoa single mother aliyepewa mimba shule ila kajiendeleza mpaka chuo.

Yule shangazi alikuwa anampenda mjomba na alimbadilisha mjomba sisi wenyewe hatukuamini,mjomba alikuwa mtu wa fegi, bange na mitungi,halafu maisha yake ya ujana yalikuwa fujo sana.Ila tokea aoe bangi na sigara kaacha ila pombe kapunguza, mwili umerudi na akajenga nyumba mbili na gari faster mpaka kanisani akawa anaenda.

Ila kumpata kama aliye mpata mjomba wangu shughuli.
Hajachaguliwa kuwa mzee wa kanisani au mwenyekiti wa jumuiya?
 
Alikuambia mkiwa chumbani au sehemu gani? Usiamini maneno unayosikia au kuambiwa ukiwa hauna nguo.Utakuja kunishukuru. Mtu aliambiwa hampendi mke wake lakini siku ya siku alirudi kwa mkewe na akamdhulumu kiwanja walichonunua kwa kuamini maneno aliyoambiwa akiwa ...
Kuna mdada pia aliwahi kuniambia ni bora angekua single kuliko ndoa aliyonayo.

Huwa mnapitia nini huko ndoani mpaka muwe na hali kama hiyo kina dada??
 
Alikuambia mkiwa chumbani au sehemu gani? Usiamini maneno unayosikia au kuambiwa ukiwa hauna nguo.Utakuja kunishukuru. Mtu aliambiwa hampendi mke wake lakini siku ya siku alirudi kwa mkewe na akamdhulumu kiwanja walichonunua kwa kuamini maneno aliyoambiwa akiwa ...
Amna sio chumbani mkuu, tulikua tunachart. Akaniuliza kuhusu mahusiano mi nkamwambia niko single ye akasema "ni bora yenu mliosingle yaani mi nikitoka huku sidhani ka ntaingia tena"
Apo jdo nikashijdwa kuelewa ni kipi hasa anachokivumilia ilhali hana raha.
 
Wewe mrembo umeupiga mwingi kweli kwenye huu uzi.
Wanawake huwa tunadanganyana kwa juu juu ili wengine wasikuone kama unatamani kuwa kama wengine ambao ni wake za watu, Ila kwa hali ya kawaida mwanamke wa kiafrika aliye na akili timamu ukifika muda wa kuolewa lazima atamani.....na wanazeeka wanatamani hakuna asiyependa kuwa na mahusiano yanayoeleweka na akaitwa mrs flani na watoto wa baba mmoja! Hata hawa wanaokuwa michepuko wana amani ya juu juu lakini unakuta anatamani na yeye awe kama mke asitumiwe kwa kificho kama bangi .....anatamani apate nafasi ya kuwa free mchana, usiku asubuhi, kama ni kumpigia simu awe free ata usiku wa manane....unakuta mke halali akipiga simu km mume yuko kwa mchepuko anaambiwa nyamaza niongee na wife, Ila yeye anapewa onyo nimefika home usipige tutawasliana kesho. Asikwambie mtu hakuna mwanamke asotamani kutolewa nyumbani kwao na mwanaume kwa heshima ya ndoa! Tunajifariji tu hata uwe na pesa ya namna gani haizibi pengo la mume
 
Wataku chukia wenzio wewe!!
 
Why mnateswa?? Kwanini msitake taraka muachane kuliko hali za namna hiyo??
Ni kipi kinawafanya mng'ang'anie mahali ambapo hakuna furaha??
Ndoa inakuwaga na ugumu kuvunjika ndugu we acha tu.....hasa ukifikiria watoto wenu walivozoea kulelewa na wote wawili baba na mama dah....unajitenga kila siku katoto kanakuuliza mbona baba haji, mama lini tutarudi nyumbani, ama baba anaulizwa maswali kama hayo...unaona watoto hawana amani kabisa dah
 
Back
Top Bottom