Tusiwasimange wanawake kwa kuchelewa kuolewa

Tusiwasimange wanawake kwa kuchelewa kuolewa

Kama ungewa shuhudia namna walikuwa wakitoa majibu ya dharau kwa wanaume waliokuwa wakibembeleza japo kuwa rafiki wa karibu na wakawakatalia kwa majigambo na matambo usingekuja hapa kinafiki namna hii kuja kuwafanyia advocacy ya kishamba hivi.

Huu ndio tunaita u'Simp, yaani mwanaume ambaye anajiweka kimbelembele kutetea maslahi ya wanawake ambao hats hawajui wana ajenda gani nyuma ya pazia akiamini anawasaidia kumbe ndio anazidi kuwaharibia kwa kulea tabia zao za hovyo.

Kimsingi wewe unakuja kusema wanaume wenzako ambao haujui wamefanyiwa nini na hawa wanawake hadi kuja kuwananga au kuongea vibaya juu yao.

Wanawake wengi huwa na mapozi sana kipindi kile wakiwa wamoto na wanavutia, wanatumia huo muda kuringa na kufanya vitu vingi vya kitoto ambavyo miaka 10 ijayo havitakuwa na faida kwao.

Huwa tunawapa sana makavu ila wanatujibu kwa dharau halafu wakishakwama wanaanza kutia tia huruma.
 
Mi nimeolewa,hatuongoz kwa kufa ila tunaongoza kwa stress na ndoa zetu.Sitoacha kutetea single mothers wala wasichana age 30s ambao bado hawajaolewa coz ndiko nilikotoka na sijaona umuhimu wa ndoa kiukweli.Nimemiss usingle wangu
Toka sasa uje huku nje kwenye raha unalalamika nini sasa?
 
Kweli mtoa mada umenena kama vile pastor upo madhabahuni.
Kuna dada 2 nawafahamu wanahangaika sana kuolewa mpaka mwingine kaniambia akipata mwanamume anatamani aolewe na apart watoto mapacha maana kachelew kuzaa.

Anawaza hivyo akati hata mume mwenyw hajampata.!
Ana umri gani? [emoji848]
 
Kuna mdada pia aliwahi kuniambia ni bora angekua single kuliko ndoa aliyonayo.

Huwa mnapitia nini huko ndoani mpaka muwe na hali kama hiyo kina dada??
Mtu ambaye hapendi kazi ila anajilazimisha kufanya kazi atakuwa analalamika kuhusu kazi anazofanya hatoona raha wala uzuri wake. The same kwa watu wanaoingia Ndoani kwa misukumo ya kimihemuko na sio uhalisia wa mambo.
 
Hakunaga single maza bna Mama Ni Mama hata kama huna ndoa.sema Kuna single parent
Wewe ndie umesema ila sote tunajua unachosema hapa sio ukweli. Unachagua kuita swala ni mbuzi ila tunaojua wanyama tunafahamu mbuzi na swala wanatofauti sana.

Single mother anakuwaje Single parent kwa maoni yako? Hebu nipe tu hata definition ya haya majina mawili halafu unambie kwann neno single mother limekuwa popular sana miaka michache iliyopita na halikuwapo miaka ya nyuma? [emoji848]
 
Wanaoongoza kuwananga wasioolewa ni wale wenye ndoa zenye migogoro,na stress zisizoisha

Walioko kwenye ndoa zenye amani

Na wenye furaha na maisha yao

Hawana muda wa kusononesha wenzao,na kuwataka wajione kama kuna kitu hakijakamilika kwenye maisha yao.

Ndoa sio kila kitu kwenye maisha!!!.
Umemaanishaje kusema "Ndoa sio kila kitu kwenye maisha" naomba ufafanuzi.
 
Unafika ndani kumbe mtu Hana kitu anakutegemea na hakuliweka Hilo mapema yaani.na Bado akugegede bure.lazima uumie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mwanaume anakutegemeaje kwa mfano hebu make it make sense.
 
Kwani kuolewa au kuoa ni lazima? Khaaaah
Ukiona elimu mzigo, jaribu ujinga. Ukiona ndoa mzigo jaribu maisha nje ya Ndoa. Ila usije sema hukuambiwa. Kalaga baho. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake huwa tunadanganyana kwa juu juu ili wengine wasikuone kama unatamani kuwa kama wengine ambao ni wake za watu, Ila kwa hali ya kawaida mwanamke wa kiafrika aliye na akili timamu ukifika muda wa kuolewa lazima atamani.....na wanazeeka wanatamani hakuna asiyependa kuwa na mahusiano yanayoeleweka na akaitwa mrs flani na watoto wa baba mmoja! Hata hawa wanaokuwa michepuko wana amani ya juu juu lakini unakuta anatamani na yeye awe kama mke asitumiwe kwa kificho kama bangi .....anatamani apate nafasi ya kuwa free mchana, usiku asubuhi, kama ni kumpigia simu awe free ata usiku wa manane....unakuta mke halali akipiga simu km mume yuko kwa mchepuko anaambiwa nyamaza niongee na wife, Ila yeye anapewa onyo nimefika home usipige tutawasliana kesho. Asikwambie mtu hakuna mwanamke asotamani kutolewa nyumbani kwao na mwanaume kwa heshima ya ndoa! Tunajifariji tu hata uwe na pesa ya namna gani haizibi pengo la mume
Umesema ukweli sana.
 
Japo nakubali kuolewa ni heshima lakini now days haipo ivyo kwa vijana wa kiume aise wacha wakae ivyo ivyo bila kuolewa!!! Maana vijana wakiume hamtaki kuoa basi wacha na wao wasiolewe kikubwa wanaishi maisha ya ndoto zao na wanafurahia
 
Nani kakwambia mwanamke bila ndoa anafurahia,sema anajifariji,saikolojia ya mwanamke haikuumbwa kuishi bila ndoa au mume,hii iko kwenye damu yake,kinachofanyika ni kuwa inabidi tu akubali hali ilivyo ili maisha yaende...
 
Mmmmmmhmn 33 years? [emoji848]

Sasa hapo ni sawa na kutaka kumpa ushauri wa namna ya kupata division 1 ya 7 mwanafunzi mtoro ambaye alikuwa haingii darasani na ni full uzembe na chenga nyingi then anataka kutoboa kipindi cha mtihani wa Necta.
 
Umri sio rafiki kabisa kwa wanawake na ndo maana lazima wakimbizane nao
 
Nani kakwambia mwanamke bila ndoa anafurahia,sema anajifariji,saikolojia ya mwanamke haikuumbwa kuishi bila ndoa au mume,hii iko kwenye damu yake,kinachofanyika ni kuwa inabidi tu akubali hali ilivyo ili maisha yaende...
Inawezekana ukawa sahihi sasa wasipoolewa wajiuwe? Si wanatakiwa waendelee kufurahia? Na vipi wanaume hawajaumbiwa kuoa? Kwanini umewapa ulazima huo wakuoelewa wanawake hii umeipata wapi?
 
Inawezekana ukawa sahihi sasa wasipoolewa wajiuwe? Si wanatakiwa waendelee kufurahia? Na vipi wanaume hawajaumbiwa kuoa? Kwanini umewapa ulazima huo wakuoelewa wanawake hii umeipata wapi?
Unajua kwamba wanaume ndio wanaitafuta ndoa kuliko wanawake wakiwa umri wa kuoa yaani kati ya 15 hadi 30 sababu huo ndio muda wanahitaji sana kuwapo na mwanamke pembeni yake kwasababu hawana hela wala mali za kumiliki mwanamke wanayemtaka. Na wakifika miaka 30 kwenda juu wanaaanza kupoteza hamu ya kuoa na akili zinaanza kuwa serious na kutafuta maisha na ndipo wanawake huanza kujileta sababu anaanza kushika senti kidogo kidogo na anaanza wachukulia wanawake kawaida na hana shida ya ndoa ila mahusiano ya kingono tu.

Kinyume chake ni wanawake kuikataa ndoa katika umri wa kuolewa yaani kati ya 16 hadi 25 sababu attention ni kubwa sana nje kutoka kwa wanaume wa rika zote yaani wakubwa na wadogo, na wanashindwa kuamua kuwa na wakubwa sababu wanawapa vitu wanavyotaka ili wawale tu na hakuna ndoa, na mabinti hawawezi kuforce ndoa wakati huo sababu hawataki kubanwa na mwanaume m'moja na pia hawavitaki vibwana mdogo kwasababu havina ela vina machozi na lawama tu mwisho wa siku mabinti huishi kwa mfumo huo hadi miaka 25 kwenda juu na ndipo hapo balaa huwa linawakuta maana wanaanza kupata haja ya ndoa baada ya kuona soko lao linaanza kuingiliwa na mzigo mpya wa vitoto vibichi vinavyobalehe na wao wakianza kuonekana ni wazee na ndipo hapo huanza kusumbua kuolewa na ndipo akina sisi hutokea na kuanza kuwananga na kuwapopoa kwa mawe na maneno makali halafu akina wewe mnakuja kuingilia na kusema mbona hatuwasemi wanaume , kwani ni wapi wanaume waneng'ang'ania ndoa na walishakubali kuwa wanawake hawadate broke guys?

Na huwa mnaona madogo huwa tunawaponda hapa wakililia mapenzi tunawaambia wakomae na michongo mademu wapo kibao ukiwa na hela utatomba kila aina hadi utaanza wakataa.
 
Sioni sababu za wanawake kuwa lazima wanahitaji hilo japo ni muhimu kwa wote men and women, sasa ukiangalia asilimia kubwa ya humu jamii forum wanaume ndo kila siku tunalizwa na mapenzi hapa nashindwa kuelewa wanawke wana athirika vipi na hili lakuolewa
 
Back
Top Bottom