Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kanywe chai kwanza kufaulu ni jukumu lako, mitaala siyo useless we ndio uselessKwa nini walimu wa vyuo vikuu wasitupiwe lawama, wakati mitaala yao ni useless?
yaani kuanzia darasa ,la saba,form 4, na form six,nikupanua goli,ili ufauru uwe mzuri,bila kuangalia hao wahitimu,uje utegemee kuwatengeneza wakiwa vyuoni?hilo ni gumu,angalia kipindi cha nyuma angalau kulipo kuwa na ubora wa elimu kuanzia chini,hata huko juu kulitoa wahitimu wenye ubora.Taifa linapokuwa na wahitimu wa chuo kikuu ambao hata wakikaa mitaani ni kama hawajamaliza form four ni aibu kwa taifa.
Ni lazima wapimwe kwa mitihani ambayo ina vigezo vya kimataifa.
Bahati nzuri dunia nzima masomo ni yaleyale tu.
Sasa kama vyuo vitawalegezea wanafunzi ili waonekane wamefaulu wakati hawajaiva ni aibu kubwa.
Ndio maana sasa hivi ni aibu kwa graduates wengi wa vyuo vikuu. Aibu kubwa.