Tusizuge na tuache Unafiki ukweli ni kwamba tuliomba hadi hata Kuroga tupangiwe na Asec ila Jini limeshindwa safari hii

Tusizuge na tuache Unafiki ukweli ni kwamba tuliomba hadi hata Kuroga tupangiwe na Asec ila Jini limeshindwa safari hii

Mwanangu una kingereza kibaya. Kwa unavyojisifu sikutegemea unaweza andika broken ya namna hii
Popoma hajui English yani anaongea kama binti wangu wa darasa la 5

Eti 'you provoke me'
 
Na kuna Timu moja hapa Afrika licha ya kuwa inacheza Mpira wa uhakika, ni Tajiri wala haitegemei Kuuza Godoro la kuumiza Migongo

Ina Wachezaji ambayo Bajeti yao ni Bajeti ya Miaka 10 ya Majini Baharini FC lakini pia hata Kiuchawi pia wako vyema ile mbaya ukizingatia kuwa hata nchini Kwao ndiyo kuna Chuo Kikuu pekee ya Uchawi / Sangoma.

Safari imefika mwisho Kudadadeki!!!
Kiongozi acha kutumia ugoro, ni ushauri tu lakini
 
Back
Top Bottom