B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Wakuu mpo wazima hapa.
Binafsi nimeamua kuwapa elimu ya NO REFORMS NO ELECTION babu na bibi yangu pia wazazi na wajomba na mashangazi. Kwa wingi wa vijana wa kitanganyika na zanzibar tunao uwezo wa kuifikisha NO REFORMS NO ELECTION kila kona ya nchi yetu.
Tuna weza na tutawafikia wote watanzania na tutakua wamoja. Wakupinga wapo hasa wale wachama chakavu ambao bado wana tumiwa bila wao kujua.
Narudia tena kusema tukaisambaze na kuifundisha NO REFORMS NO ELECTION kwa kila mtanzania. Bila kubagua dini, kabila, kimo, uchumi, rangi au jinsia au elimu.