Tutaelimisha mpaka babu na bibi zetu kuhusu hili la NO REFORMS NO ELECTION

B-2 STEALTH BOMBER

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
4,640
Reaction score
6,422
Wakuu mpo wazima hapa.

Binafsi nimeamua kuwapa elimu ya NO REFORMS NO ELECTION babu na bibi yangu pia wazazi na wajomba na mashangazi. Kwa wingi wa vijana wa kitanganyika na zanzibar tunao uwezo wa kuifikisha NO REFORMS NO ELECTION kila kona ya nchi yetu.

Tuna weza na tutawafikia wote watanzania na tutakua wamoja. Wakupinga wapo hasa wale wachama chakavu ambao bado wana tumiwa bila wao kujua.

Narudia tena kusema tukaisambaze na kuifundisha NO REFORMS NO ELECTION kwa kila mtanzania. Bila kubagua dini, kabila, kimo, uchumi, rangi au jinsia au elimu.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi bibi yangu kanielewa na hata piga kura mwaka huu
 
Mimi bibi yangu alikua mbele ya No reforms No Election, alisema toka mwaka juzi kuwa hapigi kura tena na uchaguzi wa serikali za mitaa hakupiga kura na mwaka uchaguzi mkuu hatopiga kura. No reforms No Election.
 
Na kuelimisha Watanzania kuwa CHADEMA kikiorganize maandamano ya Amani wawe wanatoka ndio njia pekee watawala watasikiliza.
Ipo siku litawaka na tutafika!
Kwa sasa ngoja maandamano yafanyikie huku mitandaoni! Kwa kuwa tunaitumia kuwasiliana nao na kuwatumia sadaka bila shaka sumu ya No Reforms No Elections itaeleweka vyema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…