Tutafakari hili kwa akili kubwa kidogo!

Tutafakari hili kwa akili kubwa kidogo!

Huwa najiuliza sana akilini lakini sipati majawabu yake,

Hivi katika vurugu za Oktoba 29, serekali yetu ingekaa kimya tu kwa kutuliza fujo huku wana wakichoma tu moto magari, sheli majumba ya watu kupora maduka,kuchoma mabasi ya mwendokasi,na serekali yetu ikawa inawaambia kufanya hivyo ni dhambi,acheni msiibe ni dhambi,kama mna njaa mtapikiwa ubwabwa na NYAMA,maana mabazazi wale waliiba mpaka paja la ngombe buchani pale kimara,aisee!

Kwa mtazamo huu,je leo hii kungekuwepo na Tanzania,hii?

#Tutafakari kwa kina suala hili,ukizingatia binadamu kwa asili huzoea mazingira,ataiba nyama atakula atashiba,kesho ataiba kule na Ndiyo utakuwa mwendo wenyewe huo,that mean ingefika mahala watu wasingetaka vurugu ziishe maana wangelikuwa tayari wana silaha mikononi/

#Allah tuepushe na shari.
Chanzo cha yote hayo ni nini?
Na je, sababu za hayo zimeondolewa au bado zipo?
 
Ivi kungekua na tume huru ya uchaguzi, Uhuru wa habari na uwajibikaji wa viongozi yangetokea ya October 29
Kumbuka mdai wa tume huru alikuwa amejitoa yupo pembeni anapanga yake, baada ya mwenyekiti wao kusema hawatashiriki/ walioshiriki maana yake walikubaliana na tume iliyopo!
 
Huwa najiuliza sana akilini lakini sipati majawabu yake,

Hivi katika vurugu za Oktoba 29, serekali yetu ingekaa kimya tu kwa kutuliza fujo huku wana wakichoma tu moto magari, sheli majumba ya watu kupora maduka,kuchoma mabasi ya mwendokasi,na serekali yetu ikawa inawaambia kufanya hivyo ni dhambi,acheni msiibe ni dhambi,kama mna njaa mtapikiwa ubwabwa na NYAMA,maana mabazazi wale waliiba mpaka paja la ngombe buchani pale kimara,aisee!

Kwa mtazamo huu,je leo hii kungekuwepo na Tanzania,hii?

#Tutafakari kwa kina suala hili,ukizingatia binadamu kwa asili huzoea mazingira,ataiba nyama atakula atashiba,kesho ataiba kule na Ndiyo utakuwa mwendo wenyewe huo,that mean ingefika mahala watu wasingetaka vurugu ziishe maana wangelikuwa tayari wana silaha mikononi na mfumo wa ku hunt bidhaa kuchukuwa na kula tu ungewaingia akilini...../

#Allah tuepushe na shari.
Hii ya kuchoma moto ipo toka 2010 kwenye uchaguzi na watu hawakuuliwa
 
Kama huwezi jua chanzo cha tatizo basi huwezi tibu tatizo
 
Vurugu zilitokea wapi Kizimkazi? sisi tunajuwa Mauwaji ya October na si Vurugu binadamu hafananishwi na mali. Huyo mstaafu alieunguliwa na Lorry atalipwa je uhai utaurudisha?
 
Back
Top Bottom