Tutafakari hili kwa akili kubwa kidogo!

Chanzo cha yote hayo ni nini?
Na je, sababu za hayo zimeondolewa au bado zipo?
 
Ivi kungekua na tume huru ya uchaguzi, Uhuru wa habari na uwajibikaji wa viongozi yangetokea ya October 29
Kumbuka mdai wa tume huru alikuwa amejitoa yupo pembeni anapanga yake, baada ya mwenyekiti wao kusema hawatashiriki/ walioshiriki maana yake walikubaliana na tume iliyopo!
 
Hii ya kuchoma moto ipo toka 2010 kwenye uchaguzi na watu hawakuuliwa
 
Kama huwezi jua chanzo cha tatizo basi huwezi tibu tatizo
 
Vurugu zilitokea wapi Kizimkazi? sisi tunajuwa Mauwaji ya October na si Vurugu binadamu hafananishwi na mali. Huyo mstaafu alieunguliwa na Lorry atalipwa je uhai utaurudisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…