Uchaguzi 2020 Tutafakari: Kwanini Serikali iliamua kugharimia Uchaguzi Mkuu badala ya kuomba UNDP kama ilivyozoeleka?

Uchaguzi 2020 Tutafakari: Kwanini Serikali iliamua kugharimia Uchaguzi Mkuu badala ya kuomba UNDP kama ilivyozoeleka?

Wamefanya walivyo taka, na adhima yao imetimilika.
Kwakua tayari uchaguzi umekwisha, na ccm imeshinda kwa kishindo (kwa kura za NEC), basi wacha maisha yaendelee na wao wasubiri kuapishwa kama desturi ilivyo.
Kamanda, barabarani huingii?
 
Hilo Gazeti lako peleka wakafungie Vitumbua kisha mumpelekee Mamluki wenu wa Ubelgiji
Kisha pokea za Uso
Kwa uharamia unaofanywa na Tume kwa kushirikiana na makada wa CCM una haki ya kutoa mapovu hadi mkunduni!
 
Wewe ndo unaandika vitu vya kitoto sana Kwani hapa kawe mbona kura za magufuli zinazidi kura za wabunge kura zaidi ya laki moja, huu ni uchafuzi tu hakuna viongozi waliochaguliwa na wananchi ni dola imeamuwa kupandikiza watu wake sawa tu waendelee kutawala na huo udanganyifu wao halafu wataanza kusema waombewe lakini kwa hayo maovu kweli Kuna haja ya kuomba msaada wa kuombewa
Lete source ya taarifa zako wewe boya, unaelekezwa ila bado una kichwa kigumu tu, chombo cha habari kimoja kikikosea haimaanisha tume imekosea, sasa leta taarifa ya tume inayo onyesha hivyo, mnashindwa kufikiria vitu vidogo tu utaweza kuongoza hata familia yako sembuse jimbo au nchi.
 
Mkuu katika ulimwengu huu wa teknlojia ni rahisi sana hata kupata taarifa za White House ya Marekani ukiwa hapa kwangu Ng'wasilalage Kwimba Mwanza...sasa wewe ungetumia nafasi hiyo kuchunguza hiki unachokiandika kuwa ni kweli kabla ya kula matango poli hayo....jifunze kutumia akili yako kuliko kunakili kila unachoambiwa!
Ni wapi huko idadi ya wapiga kura ilizidi waliojiandikisha? leta chanzo cha habari yako kama ni #Kigogo 2014 nacho ni chanzo tu!
Povu tupu huku ukijiona mwerevu sana kumbe Kilaza tu!
 
Tangu tupate uhuru wa bendera kutoka kwa Ufalme wa Uingereza, Tanzania tumekuwa tukiomba msaada wa kugharimia Chaguzi Kuu zote kutoka nchi marafiki na jumuia za kimataifa. Lakini uchaguzi wa mwaka huu imekuwa tofauti kabisa Serikali iliamua kugharimia, kitendo ambacho haiingii akilini kuwa ni cha busara.

Fedha ambayo imetumika kugharimia uchaguzi huu ingeweza kutumika kugharimia miradi mingine ya maendeleo ili kuwapunguzia wananchi makali ya maisha na kujenga uchumi wa nchi.

Kwa jinsi ambavyo uchaguzi umeendeshwa na matokeo yake yanayoendelea kutangazwa, kwa vyo vyote vile serikali ingepata lawama kubwa sana. Na kwa kuwa serikali ilikuwa inafahamu jinsi itakavyosimamia uchaguzi kwa kufanya wizi, ulaghai na unyanyasaji wa wananchi wake kwa kuwapiga mabomu, risasi na marungu ikaona itumie fedha zake za ndani kupunguza hasira na lawama za kitaifa na kimataifa.

Jambo hili halikubaliki na ni dhuluma kwa Watanzania.
Hizo ni fikra za kitumwa uchaguzi ni wenu halafu mtembeze bakuli hivi inamaana bila wazungu hatuwezi kuishi
 
Hela yenyewe mbona ya kawaida tu tshs 300 billion. Kama tunajenga SGR kwa trillion 7, tunashindwaje kugharamia uchaguzi wetu. Hii nchi kuna vitu tulikuwa tunaaminishwa tu kuwa hatuwezi, lakini baada ya kupata kiongozi sahihi tumeweza.
 
Hela yenyewe mbona ya kawaida tu tshs 300 billion. Kama tunajenga SGR kwa trillion 7, tunashindwaje kugharamia uchaguzi wetu. Hii nchi kuna vitu tulikuwa tunaaminishwa tu kuwa hatuwezi, lakini baada ya kupata kiongozi sahihi tumeweza.
Nyooo! Mbona deni la Taifa linaongezeka kila kukicha!
 
Yaani kuna wapuuzi wanaona fahari kuwa ombaomba tena kwa Jambo letu wenyewe wala sio maafa na tumepanga wenyewe kila baada ya miaka mitano tulifanye. Khaa!!! akili ya wapi hii hakika nilikua chadema haijawahi kuwa akili ya chadema hiyo. Ili taifa liendelee yafaa watu wenye mitazamo Kama yako muuliwe wote la ya sivyo Magufuli work done ni sawa na sifuri.
Imekuwa desturi hovyo yafaa tuiache ndicho anachofanya Magufuli muache kabisa mzee baba afanye yake
Hawajui gharama ya kulipiwa uchaguzi ni gharama ya Amani kwa faida ya weupe
 
Nyooo! Mbona deni la Taifa linaongezeka kila kukicha!
Suala la deni la taifa linahitaji shule kubwa kiasi, na kwa kiwango chako cha uelewa sidhani kama utaambulia kitu hata nikikufundisha. Labda nikuache na kaswali kadogo tu: Kwanini Marekani inadaiwa ingawa ndiyo nchi yenye nguvu zaidi kiuchumi duniani?
 
Penicillin injection huwa inamaumivu makali msikaze ta.k.o acheni sindano iingie.

Hongera CCM

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom