Uchaguzi 2020 Tutafakari: Kwanini Serikali iliamua kugharimia Uchaguzi Mkuu badala ya kuomba UNDP kama ilivyozoeleka?

Uto
Tangu tupate uhuru wa bendera kutoka kwa Ufalme wa Uingereza, Tanzania tumekuwa tukiomba msaada wa kugharimia Chaguzi Kuu zote kutoka nchi marafiki na jumuia za kimataifa. Lakini uchaguzi wa mwaka huu imekuwa tofauti kabisa Serikali iliamua kugharimia, kitendo ambacho haiingii akilini kuwa ni cha busara.

Fedha ambayo imetumika kugharimia uchaguzi huu ingeweza kutumika kugharimia miradi mingine ya maendeleo ili kuwapunguzia wananchi makali ya maisha na kujenga uchumi wa nchi.

Kwa jinsi ambavyo uchaguzi umeendeshwa na matokeo yake yanayoendelea kutangazwa, kwa vyo vyote vile serikali ingepata lawama kubwa sana. Na kwa kuwa serikali ilikuwa inafahamu jinsi itakavyosimamia uchaguzi kwa kufanya wizi, ulaghai na unyanyasaji wa wananchi wake kwa kuwapiga mabomu, risasi na marungu ikaona itumie fedha zake za ndani kupunguza hasira na lawama za kitaifa na kimataifa.

Jambo hili halikubaliki na ni dhuluma kwa Watanzania.
Utopolo
 
Time hii mtaongea kila kitu. Mtambue tu wananchi wamewakataa kwa hoja mufilisi kama hizi. Am sure hata hela ingetumika kufanyia miradi mngekuja na lawama maana kwenu ilifika kipindi hamuamini tena katika uwekezaji kwenye miradi na miundombinu. Ila pia tungechukua hela za wadhamini mngebeza kuwa ni vipi nchi inayojinasibu kuwa tajiri inashindwa kujigharamia uchaguzi.
Kifupi ni kuwa mtaongea sana ila mjue time hii mnabakwa na anaewazidi nguvu na eneo mnalobakiwa hamuwezi kupata msaidizi so iandaeni akili mlifurahie tendo otherwise mnavozidi kuresist ndo mnavozidi kuumia
 
Tangu tupate uhuru wa bendera kutoka kwa Ufalme wa Uingereza, Tanzania tumekuwa tukiomba msaada wa kugharimia Chaguzi Kuu zote kutoka nchi marafiki na jumuia za kimataifa. Lakini uchaguzi wa mwaka huu imekuwa tofauti kabisa Serikali iliamua kugharimia, kitendo ambacho haiingii akilini kuwa ni cha busara.

Fedha ambayo imetumika kugharimia uchaguzi huu ingeweza kutumika kugharimia miradi mingine ya maendeleo ili kuwapunguzia wananchi makali ya maisha na kujenga uchumi wa nchi.

Kwa jinsi ambavyo uchaguzi umeendeshwa na matokeo yake yanayoendelea kutangazwa, kwa vyo vyote vile serikali ingepata lawama kubwa sana. Na kwa kuwa serikali ilikuwa inafahamu jinsi itakavyosimamia uchaguzi kwa kufanya wizi, ulaghai na unyanyasaji wa wananchi wake kwa kuwapiga mabomu, risasi na marungu ikaona itumie fedha zake za ndani kupunguza hasira na lawama za kitaifa na kimataifa.

Jambo hili halikubaliki na ni dhuluma kwa Watanzania.
Acheni mawazo mgando, utegemezi mpaka lini, tuko uchumi wa kati heko serikari ya ccm!
 
Suala la deni la taifa linahitaji shule kubwa kiasi, na kwa kiwango chako cha uelewa sidhani kama utaambulia kitu hata nikikufundisha. Labda nikuache na kaswali kadogo tu: Kwanini Marekani inadaiwa ingawa ndiyo nchi yenye nguvu zaidi kiuchumi duniani?
Sawa prof wa uchumi! Ninachojua ni kuwa Magufuli anaendelea kukopa halafu anawadanganya nyie mataga kuwa ni fedha za ndani!
 
Hizo ni fikra za kitumwa uchaguzi ni wenu halafu mtembeze bakuli hivi inamaana bila wazungu hatuwezi kuishi
Mpumbavu kama wewe hamuwezi kutumia fursa! Sisi ni wanachama wa UNDP na tunachangia kila mwaka na tuna haki ya kutumia fedha zilizotengwa kwa chaguzi za nchi zinazoendelea!
 
Nyooo! Mbona deni la Taifa linaongezeka kila kukicha!
Kukopa sio dhambi ila mikopo unategemea inafanyia kitu gani.
Kitu Kama bwawa la umeme au reli kwanini tusikope maana ni maendeleo hata benki inashawishika
 
Tangu tupate uhuru wa bendera kutoka kwa Ufalme wa Uingereza, Tanzania tumekuwa tukiomba msaada wa kugharimia Chaguzi Kuu zote kutoka nchi marafiki na jumuia za kimataifa. Lakini uchaguzi wa mwaka huu imekuwa tofauti kabisa Serikali iliamua kugharimia, kitendo ambacho haiingii akilini kuwa ni cha busara.

Fedha ambayo imetumika kugharimia uchaguzi huu ingeweza kutumika kugharimia miradi mingine ya maendeleo ili kuwapunguzia wananchi makali ya maisha na kujenga uchumi wa nchi.

Kwa jinsi ambavyo uchaguzi umeendeshwa na matokeo yake yanayoendelea kutangazwa, kwa vyo vyote vile serikali ingepata lawama kubwa sana. Na kwa kuwa serikali ilikuwa inafahamu jinsi itakavyosimamia uchaguzi kwa kufanya wizi, ulaghai na unyanyasaji wa wananchi wake kwa kuwapiga mabomu, risasi na marungu ikaona itumie fedha zake za ndani kupunguza hasira na lawama za kitaifa na kimataifa.

Jambo hili halikubaliki na ni dhuluma kwa Watanzania.
You are very wrong hujui unacho kisema. Wewe unataka nchi ya kuomba omba. Hujui Magufuli kakausanya mahela kibao yaliyokuwa yanaibiwa kwenye madini. Think before posting
 
Kukopa sio dhambi ila mikopo unategemea inafanyia kitu gani.
Kitu Kama bwawa la umeme au reli kwanini tusikope maana ni maendeleo hata benki inashawishika
Pumbavu!
 
You are very wrong hujui unacho kisema. Wewe unataka nchi ya kuomba omba. Hujui Magufuli kakausanya mahela kibao yaliyokuwa yanaibiwa kwenye madini. Think before posting
Mahela ambayo amejengea uwanja wa Chato!
 
Back
Top Bottom