Uchaguzi 2020 Tutafakari: Kwanini Serikali iliamua kugharimia Uchaguzi Mkuu badala ya kuomba UNDP kama ilivyozoeleka?

Wamefanya walivyo taka, na adhima yao imetimilika.
Kwakua tayari uchaguzi umekwisha, na ccm imeshinda kwa kishindo (kwa kura za NEC), basi wacha maisha yaendelee na wao wasubiri kuapishwa kama desturi ilivyo.
Kamanda, barabarani huingii?
 
Hilo Gazeti lako peleka wakafungie Vitumbua kisha mumpelekee Mamluki wenu wa Ubelgiji
Kisha pokea za Uso
Kwa uharamia unaofanywa na Tume kwa kushirikiana na makada wa CCM una haki ya kutoa mapovu hadi mkunduni!
 
Lete source ya taarifa zako wewe boya, unaelekezwa ila bado una kichwa kigumu tu, chombo cha habari kimoja kikikosea haimaanisha tume imekosea, sasa leta taarifa ya tume inayo onyesha hivyo, mnashindwa kufikiria vitu vidogo tu utaweza kuongoza hata familia yako sembuse jimbo au nchi.
 
Povu tupu huku ukijiona mwerevu sana kumbe Kilaza tu!
 
Hizo ni fikra za kitumwa uchaguzi ni wenu halafu mtembeze bakuli hivi inamaana bila wazungu hatuwezi kuishi
 
Hela yenyewe mbona ya kawaida tu tshs 300 billion. Kama tunajenga SGR kwa trillion 7, tunashindwaje kugharamia uchaguzi wetu. Hii nchi kuna vitu tulikuwa tunaaminishwa tu kuwa hatuwezi, lakini baada ya kupata kiongozi sahihi tumeweza.
 
Hela yenyewe mbona ya kawaida tu tshs 300 billion. Kama tunajenga SGR kwa trillion 7, tunashindwaje kugharamia uchaguzi wetu. Hii nchi kuna vitu tulikuwa tunaaminishwa tu kuwa hatuwezi, lakini baada ya kupata kiongozi sahihi tumeweza.
Nyooo! Mbona deni la Taifa linaongezeka kila kukicha!
 
Hawajui gharama ya kulipiwa uchaguzi ni gharama ya Amani kwa faida ya weupe
 
Nyooo! Mbona deni la Taifa linaongezeka kila kukicha!
Suala la deni la taifa linahitaji shule kubwa kiasi, na kwa kiwango chako cha uelewa sidhani kama utaambulia kitu hata nikikufundisha. Labda nikuache na kaswali kadogo tu: Kwanini Marekani inadaiwa ingawa ndiyo nchi yenye nguvu zaidi kiuchumi duniani?
 
Penicillin injection huwa inamaumivu makali msikaze ta.k.o acheni sindano iingie.

Hongera CCM

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…