Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Anaitwa Nica the queen
Dhambi mpya zimeanza baada ya Bwana Yesu kusulubiwa msalabani
Dhambi mpya zimeanza baada ya Bwana Yesu kusulubiwa msalabani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmh!!KWA HIYO KINACHOKUCHANGANYA NI HAYO MAPINGILI YAKE AU NYIMBO ZAKE?
Shika neno lake na sio umbile lake
Kama hujashtushwa na hizo vazi na hio figure basi upinde unakuhusuKWA HIYO KINACHOKUCHANGANYA NI HAYO MAPINGILI YAKE AU NYIMBO ZAKE?
Shika neno lake na sio umbile lake
Dhambi gani mkuu? Unadhani hao Mapadri wanaotuungamisha wao ni wasafi kama Yesu? Si ni Imani tu ndio zinatuongoza?Dhambi mpya zimeanza baada ya Bwana Yesu kusulubiwa msalabani
Mzigo wa DuniaAnaitwa Nica the queen
Dhambi mpya zimeanza baada ya Bwana Yesu kusulubiwa msalabani
View attachment 2582940
Unawezaje kushika neno mbele ya umbile hiloKWA HIYO KINACHOKUCHANGANYA NI HAYO MAPINGILI YAKE AU NYIMBO ZAKE?
Shika neno lake na sio umbile lake
Uwongooo!,huo ni Uwongooo.Matendo ya mtu yana sound sana kuliko Maneno peke yake.KWA HIYO KINACHOKUCHANGANYA NI HAYO MAPINGILI YAKE AU NYIMBO ZAKE?
Shika neno lake na sio umbile lake
Neno safi haliwezi kuwakilishwa na mzani mchafu.KWA HIYO KINACHOKUCHANGANYA NI HAYO MAPINGILI YAKE AU NYIMBO ZAKE?
Shika neno lake na sio umbile lake
ULISHAWAH KUONA AMEPANDA JUKWAANI AMEVAA HIVYO?Neno safi haliwezi kuwakilishwa na mzani mchafu.
Hatariii 😋😋Anaitwa Nica the queen
Dhambi mpya zimeanza baada ya Bwana Yesu kusulubiwa msalabani
View attachment 2582940
Jukwaa si tatizo anafaa kuwakilisha anachowakilisha ikiwa akitoka jukwaani ndivyo anavyofanana.Kila jamii ina mionekano na tabia zake.Mtu wa kiroho wa mungu antakiwa kuonekana kistaha.ULISHAWAH KUONA AMEPANDA JUKWAANI AMEVAA HIVYO?