Tutafika mbinguni tumechoka sana. Huyu nae ni muimbaji wa Gospel huko Kenya

Wakenya kawaida hiyo, nyimbo za injili ni kichaka tu.
Baadae kidogo atakaua kama willy paul na bahati.
 
Nyimbo za injili Kenya ni utamaduni sio swala la Imani.
 
Mbona ana mwili m'baya sana, mapaja yana mabonde hayapo smooth still anavaa half naked!
 
ULISHAWAH KUONA AMEPANDA JUKWAANI AMEVAA HIVYO?
Jukwaa si tatizo anafaa kuwakilisha anachowakilisha ikiwa akitoka jukwaani ndivyo anavyofanana.Kila jamii ina mionekano na tabia zake.Mtu wa kiroho wa mungu antakiwa kuonekana kistaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…