Tutafika mbinguni tumechoka sana. Huyu nae ni muimbaji wa Gospel huko Kenya

Huyo Malaya anamwimbia nani nyimbo za Injili Asikilize?
 
Jukwaa si tatizo anafaa kuwakilisha anachowakilisha ikiwa akitoka jukwaani ndivyo anavyofanana.Kila jamii ina mionekano na tabia zake.Mtu wa kiroho wa mungu antakiwa kuonekana kistaha.
MBONA WAKINA DIAMOND WAKILA BATA MNAWASEMA WAKATI WANAISHI MAISHA YAO YA KISANII?? MNATAKA NINI ENYI BINAADAM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…