Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujenga maeneo hayo huwez pata hata kiwanja..maana kote kuko occupied...yaan labda umuhamishe mtu..na ukimuhamisha mtu kwenye land ni mpka 2m $..labda ununue apartment gorofan ndo zipo had za 400m au 600mUkiwa na uwezo wa kulipa $2000 per month bila shaka hata uwezo wa kusimamisha mjengo wako wa maana ndani ya miezi mitatu upo.
Tafuta hela ujenge wako maeneo hayo, siyo upange.
Hii apartment kanambia anataka akirud ainunue. Ingawa owner wa hzo apartment hauzi..ila anasema kaongea nae amuuzie sasa sjui itawezekana..ni kama 300k$ hivKomaa yote yanawezekana. Sasa wewe una exposure, wapo watu kibao wana mpunga wa kutosha na wanakaa sehemu za ajabu ajabu. Tafuta hela unanunua kabisa sio kulipa kodi, ila lazima uwe na hela maanake hata ukinunua kuna kulipa service charge kila mwezi minimum $200.
Kakuachia nyumba yake yenye "utakaso"..umeshaanza kufikiria kuingiza vichenchede...[emoji26][emoji26]Wakuu..nmehamia kwa sista hapa near sea clif..zile vilas and apartment ile barabara inayoenda sea clif baharin huku.aisee wakuu...niko hapa mwez mzima nalinda nyumba...hahhah..yaan namaanisha naamkia hapa kwenda kazin etc...yaan inshort huu mwez m1 nataka niutumie vizur sana hata kungoa ma slay queen nikidanganya kuwa hapa ni kwangu nime rent...
Wakuu..tutafte hela wakuu..hapa ni kama paradise..well..mijengo kama hii uswahilin kwetu ipo ila sasa hii location ndo kila kitu
Narudia tena. tutafte hela kwa njia yoyote ile ila isiwe hatarish wakuu
Yaan speed ntakayotoka nayo after this whole month ya utaftaj ni ya kiwango cha lami...
Wakuu tutafte hela..haya maisha kuna watu wanakula aisee..
The next apartment kuna wadada wa kichaga hawa wanaonekana kula bata usiku na mchana wala hawana kaz..sasa sielew mapesa haya wanatoa wap..
Well ..ukiuliza nimuulize sista yeye anapata wap pesa..well..my sista ni msomi pia ni wale mnaoskiaga wanasafiri kwenda geneva kila mwez so achen maswal..
Tutafte pesa .mim ni msomi lakin ndo hvyo nahangaika na mshahara wa gavamee.na biashara....hii mikoz ya sayansi kujifanya injinia saa zingne daah..msuli tembo matokeo sungura..
Ila siku 1 naamin namim ntaweza lipa rent hzi za 2000$....
Dah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana noma huyu sista angu. Siunajua mtu mwenye pesa nying..afu ulaya sanaa..na anajua mdogo wake nmeacha tabia mbaya skuhiz .Kakuachia nyumba yake yenye "utakaso"..umeshaanza kufikiria kuingiza vichenchede...[emoji26][emoji26]
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Umri wako ?Kabisa mkuu..roho inaniuma sana kwamba kwann siingiz pesa nying kwa mwezi..na elimu nnayo ya kutosha..kiufup mim nyumban ndo mwenye matokeo ya kutisha ya kielimu..ila sasa kimaisha ndo bado .au nijipe muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Chkua hyo sasa..back view ..front view subiriTuma picha hizo stori...tupu hazina mpango...[emoji16][emoji16][emoji16]
Hapa kuna wachina na wazungu weng .africans ni very fewYan mitaa hiyo kumuona mbongo nadra labda wanaofanya mazoez,au walinzi wamejaa wazungu na wachina haha wacha tuzisake
[emoji23][emoji23]Yaan hapo kuna swimming pool..unaogelea na ngoz nyeupe tu had nao wanajiuliza huyu bwege katokea wap..au mtoto wa fisadi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanipita miaka mi4Umri wako ?
Umei wa unayehisi ni role modo wako kimaendeleo ?
Sijauli,a kwa kejeli bali nina hoja ya msingi ya kukuwasilishia
Sasa kwanini alikuomba ukae kwake wakati kwenye hiyo appartment pako secured na kwako hujamwacha mtu?Kwangu nmefunga mkuu...yan hapa ndo umenipa mawazo ya kwamba sasa niko huku na kwangu inakuaje kuhusu usalama etc..ila ntakua naenda kila baada ya sku3...maana hapa kwenye hiz apartment hakuna threat yoyote. Nakaa ushahid tuu nakula good times..ila kuna security ya hali ya juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mim ndio nilitoa wazo la sista unasafiri..nakuja kulinda nyumba..tehtehteh....huyu sista akisafiri ukienda kwake kama mlinz hyo pocket money anayokuachia unauwezo wa kufungua biashara ya tigo pesa ..hahah..acha..advantage ni nyingii mnoo..pia ukikaa hapo unauwezo wa kungoa hata mzungu..teheteh..jokingSasa kwanini alikuomba ukae kwake wakati kwenye hiyo appartment pako secured na kwako hujamwacha mtu?
HahahahMim ndio nilitoa wazo la sista unasafiri..nakuja kulinda nyumba..tehtehteh....huyu sista akisafiri ukienda kwake kama mlinz hyo pocket money anayokuachia unauwezo wa kufungua biashara ya tigo pesa ..hahah..acha..advantage ni nyingii mnoo..pia ukikaa hapo unauwezo wa kungoa hata mzungu..teheteh..joking
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhaha..mkuu..hii weekend lazima ningoe mzungu..haiwezekan nikae huku halaf nile ngoz nyeus. HaiwezekanKuna dem nilimwoteaga samaki samaki katika kuchats sana tukaanza kudate sasa nilikuja data aliposema anakaaa double tree apartments.
Ofcoz nilikua naenda kwake namgonga ila nilikua na maswali sana dem anapata wopi kodi?? Anafanya kazi kampuni ya kawaida sana na mshahara wa kawaida sana.
Kumbe alikua na danga la kizungu ndo linampa maisha yule dada mlinzi ndo alinitonya. Manake nilikua sikai kwa raha mle ndani.
Kuna siku nilimnywesha sana pale Q-bar akasema ukweli kuwa hana time na mzungu sijui nini mimi kama kidume nikajiongeza humtaki mzungu na anakulipia rent Qmmmk. [emoji28]
Never! tutaendelea tu kusikia kwa watu. Lazima tukaze mnoo, hasa sisi ambao bado umri unaruhusu.Hapo hapo mkuu...ni. Hiv..haya maisha sjui tufanyaje wakuu...hiz mia mbili mbili zetu kwenye business na mshahara kwel tutakuja kaa maeneo hayo kwel..?..roho inaniuma sana..
Sent using Jamii Forums mobile app