Tutafute hela this. 2000$ apartment si mchezo

Tutafute hela this. 2000$ apartment si mchezo

Mkuu nikaribishe walau nikupe Salam hapo getini [emoji3]
 
Kuna hizo za opposite na Golden Tulip, IL siyo Kwa sister wako, zipo vizuri sana ndani...
 
Kuna uzi hapa kuhusu wake za watu kugongwa ulitumia same picture ukasema Uko Kwa rafiki yako unapunga upepo! Sasa ghafla umegeuza kwa dada?!😬

Anyway ujumbe umefika tutafute pesa
 
Aisee!

Tanzania kuishi kwenye apartments quasi-luxury ni bonge la dili!

🤣

Ila ningependa kujua hizo $2,000.00 apartments zina amenities gani ili niweze kulinganisha.
 
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]wanchekeshaga sanaa
 
Back
Top Bottom