Tutafute hela this. 2000$ apartment si mchezo

Yan mitaa hiyo kumuona mbongo nadra labda wanaofanya mazoez,au walinzi wamejaa wazungu na wachina haha wacha tuzisake
 
Ukiwa na uwezo wa kulipa $2000 per month bila shaka hata uwezo wa kusimamisha mjengo wako wa maana ndani ya miezi mitatu upo.

Tafuta hela ujenge wako maeneo hayo, siyo upange.
Kujenga maeneo hayo huwez pata hata kiwanja..maana kote kuko occupied...yaan labda umuhamishe mtu..na ukimuhamisha mtu kwenye land ni mpka 2m $..labda ununue apartment gorofan ndo zipo had za 400m au 600m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii apartment kanambia anataka akirud ainunue. Ingawa owner wa hzo apartment hauzi..ila anasema kaongea nae amuuzie sasa sjui itawezekana..ni kama 300k$ hiv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kakuachia nyumba yake yenye "utakaso"..umeshaanza kufikiria kuingiza vichenchede...[emoji26][emoji26]

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Kabisa mkuu..roho inaniuma sana kwamba kwann siingiz pesa nying kwa mwezi..na elimu nnayo ya kutosha..kiufup mim nyumban ndo mwenye matokeo ya kutisha ya kielimu..ila sasa kimaisha ndo bado .au nijipe muda

Sent using Jamii Forums mobile app
Umri wako ?

Umei wa unayehisi ni role modo wako kimaendeleo ?

Sijauli,a kwa kejeli bali nina hoja ya msingi ya kukuwasilishia
 
Sasa kwanini alikuomba ukae kwake wakati kwenye hiyo appartment pako secured na kwako hujamwacha mtu?
 
Sasa kwanini alikuomba ukae kwake wakati kwenye hiyo appartment pako secured na kwako hujamwacha mtu?
Mim ndio nilitoa wazo la sista unasafiri..nakuja kulinda nyumba..tehtehteh....huyu sista akisafiri ukienda kwake kama mlinz hyo pocket money anayokuachia unauwezo wa kufungua biashara ya tigo pesa ..hahah..acha..advantage ni nyingii mnoo..pia ukikaa hapo unauwezo wa kungoa hata mzungu..teheteh..joking

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah

Kumbe wewe ndo uliomba..sawa mkuu kula sea breeze
 
Kuna dem nilimwoteaga samaki samaki katika kuchats sana tukaanza kudate sasa nilikuja data aliposema anakaaa double tree apartments.

Ofcoz nilikua naenda kwake namgonga ila nilikua na maswali sana dem anapata wopi kodi?? Anafanya kazi kampuni ya kawaida sana na mshahara wa kawaida sana.

Kumbe alikua na danga la kizungu ndo linampa maisha yule dada mlinzi ndo alinitonya. Manake nilikua sikai kwa raha mle ndani.

Kuna siku nilimnywesha sana pale Q-bar akasema ukweli kuwa hana time na mzungu sijui nini mimi kama kidume nikajiongeza humtaki mzungu na anakulipia rent Qmmmk. [emoji28]
 
Hhaha..mkuu..hii weekend lazima ningoe mzungu..haiwezekan nikae huku halaf nile ngoz nyeus. Haiwezekan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…