Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jan 29, 2022 #41 Kuna hizo za opposite na Golden Tulip, IL siyo Kwa sister wako, zipo vizuri sana ndani...
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,369 Reaction score 30,011 Feb 1, 2022 #42 Napoleone said: Hhaha..mkuu..hii weekend lazima ningoe mzungu..haiwezekan nikae huku halaf nile ngoz nyeus. Haiwezekan Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ngoja sister apite kwenye cctv camera akuone kijana unavyochambua nyapu kwenye nyumba yake
Napoleone said: Hhaha..mkuu..hii weekend lazima ningoe mzungu..haiwezekan nikae huku halaf nile ngoz nyeus. Haiwezekan Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ngoja sister apite kwenye cctv camera akuone kijana unavyochambua nyapu kwenye nyumba yake
Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 10,497 Reaction score 17,560 Feb 1, 2022 #43 Kuna uzi hapa kuhusu wake za watu kugongwa ulitumia same picture ukasema Uko Kwa rafiki yako unapunga upepo! Sasa ghafla umegeuza kwa dada?!😬 Anyway ujumbe umefika tutafute pesa
Kuna uzi hapa kuhusu wake za watu kugongwa ulitumia same picture ukasema Uko Kwa rafiki yako unapunga upepo! Sasa ghafla umegeuza kwa dada?!😬 Anyway ujumbe umefika tutafute pesa
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,439 Reaction score 145,410 Feb 1, 2022 #44 Aisee! Tanzania kuishi kwenye apartments quasi-luxury ni bonge la dili! 🤣 Ila ningependa kujua hizo $2,000.00 apartments zina amenities gani ili niweze kulinganisha.
Aisee! Tanzania kuishi kwenye apartments quasi-luxury ni bonge la dili! 🤣 Ila ningependa kujua hizo $2,000.00 apartments zina amenities gani ili niweze kulinganisha.
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,467 Reaction score 29,403 Feb 1, 2022 #45 [emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]wanchekeshaga sanaa