Tutafute waekezaji wengine wa kujenga crude oil refinery Tanga

Tutafute waekezaji wengine wa kujenga crude oil refinery Tanga

Sababu ni Zile Zile Tu.
Kenge hadi Umpasue Masikio ndio akusikie.

1. Utekaji.
2. Mauaji ya kutisha na Mauaji ya Maelfu ya watu ( October 29.)
3. Kupotezwa kwa Watu..
4. Uhuru wa vyonbo vya habari.
5. Uhuru wa kutoa maoni.
6. Kubambikia kesi za uongo akina Lissu, Mboye, Bony, Malisa CHADEMA NK
7. Uhuru wa kuabudu.
Kuzimwa kwa Mitandao ya kijamii na Internet X, Jamii forum,Nk
___________
8. Rushwa.
9. Ufisadi.
10. Ukiukwaji wa Haki za Binadamu.
 
Huwa najiuliza mbona wazambia wana indeni oil refinery yao ndola hapo
Na wanapiga mzigo

Kwa tz siyo kama wanashindwa,ila humu ndani kuna wadau hawataki huo mkakati wa kuwepo na oil refinery nchini

Ova
 
Huwa najiuliza mbona wazambia wana indeni oil refinery yao ndola hapo
Na wanapiga mzigo

Kwa tz siyo kama wanashindwa,ila humu ndani kuna wadau hawataki huo mkakati wa kuwepo na oil refinery nchini

Ova
Zambia hawana crude oil refinery wanaagiza petro products nje ya nchi
 
Huwa najiuliza mbona wazambia wana indeni oil refinery yao ndola hapo
Na wanapiga mzigo

Kwa tz siyo kama wanashindwa,ila humu ndani kuna wadau hawataki huo mkakati wa kuwepo na oil refinery nchini

Ova
Bila shaka huyo dangote angealibu masilahi ya watu, ni kama tu elon musk alivyofanyiwa figisu kuleta star link bongo. Wanasiasa wana share zao uko yas na voda.
 
Back
Top Bottom