Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Umefika wakati wa kuhesabu nani ana wachezaji wengi mataifa mbalimbali
Haya hatua ya pili Caf Word cup qualifiier imepita
draw ya kupanga yale mataifa 10 bora itafanyika December 18 2021
mechi zitaanza march 2022
Kutoka ligi yaNBC
watawakilishwa na
1. Diarra (Hata kama anakaa sub lakini si kaitwa!) YANGA SC
2. Djuma Shabani (Hata kama hapangwi lakini si kaitwa!!) YANGA SC
Pia wakati wakali hao 10 wanapigania nafasi ya kwenda wc arabuni kutakuwa na mechi za kirafiki za kalenda ya fifa ambapo NBC itawakilishwa na
WACHEZAJI WA SIMBA KARIBU WOOOTE
povu ruksa