Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Yacooba alikuwa anaitwa na alikuwa anacheza,ika sasa kaumiaUmefika wakati wa kuhesabu nani ana wachezaji wengi mataifa mbali mbali
Haya hatua ya pili Caf Word cup qualifiier imepita
draw ya kupanga yale mataifa 10 bora itafanyika December 18 2021
mechi zitaanza march 2022
Kutoka ligi yaNBC
watawakilishwa na
1. Diarra (Hata kama anakaa sub lakini si kaitwa!) YANGA SC
2. Djuma Shabani (Hata kama hapangwi lakini si kaitwa!!) YANGA SC
Pia wakati wakali hao 10 wanapigania nafasi ya kwenda wc arabuni kutakuwa na mechi za kirafiki za kalenda ya fifa ambapo NBC itawakilishwa na
WACHEZAJI WA SIMBA KARIBU WOOOTE
povu ruksa
Haya sasa na yacouba songeYacooba alikuwa anaitwa na alikuwa anacheza,ika sasa kaumiaa
Huyu anacheza Temeke Veterans au?Haya sasa na yacouba songe
Mimi nadhani tuhesabu wachezaji wanaocheza ligi ya vilabu vya Afrika, yaani CAF Champions League na CAF Confederation CupUmefika wakati wa kuhesabu nani ana wachezaji wengi mataifa mbalimbali
Haya hatua ya pili Caf Word cup qualifiier imepita
draw ya kupanga yale mataifa 10 bora itafanyika December 18 2021
mechi zitaanza march 2022
Kutoka ligi yaNBC
watawakilishwa na
1. Diarra (Hata kama anakaa sub lakini si kaitwa!) YANGA SC
2. Djuma Shabani (Hata kama hapangwi lakini si kaitwa!!) YANGA SC
Pia wakati wakali hao 10 wanapigania nafasi ya kwenda wc arabuni kutakuwa na mechi za kirafiki za kalenda ya fifa ambapo NBC itawakilishwa na
WACHEZAJI WA SIMBA KARIBU WOOOTE
povu ruksa
uko wapi wewe CAF Champions League makirikiri washafanya yaoMimi nadhani tuhesabu wachezaji wanaocheza ligi ya vilabu vya Afrika, yaani CAF Champions League na CAF Confederation Cup
Povu ruksa
kwa sasa tunasubiria rehema za Mungu kwenye play off na red arrow baada ya hapo tuttatajaUkimaliza kusitaja tutajie na klabu sasa zinazoshiriki michuano ya afrika.
C[emoji57][emoji1732]Umefika wakati wa kuhesabu nani ana wachezaji wengi mataifa mbalimbali
Haya hatua ya pili Caf Word cup qualifiier imepita
draw ya kupanga yale mataifa 10 bora itafanyika December 18 2021
mechi zitaanza march 2022
Kutoka ligi yaNBC
watawakilishwa na
1. Diarra (Hata kama anakaa sub lakini si kaitwa!) YANGA SC
2. Djuma Shabani (Hata kama hapangwi lakini si kaitwa!!) YANGA SC
Pia wakati wakali hao 10 wanapigania nafasi ya kwenda wc arabuni kutakuwa na mechi za kirafiki za kalenda ya fifa ambapo NBC itawakilishwa na
WACHEZAJI WA SIMBA KARIBU WOOOTE
povu ruksa
Wakienda Qattar Wananchi wanavuna mpunga mzuri tu.Umefika wakati wa kuhesabu nani ana wachezaji wengi mataifa mbalimbali