Tutaje magarasa ya kigeni yaliyosajiliwa na Simba na Yanga kwa miaka ya karibuni

Tutaje magarasa ya kigeni yaliyosajiliwa na Simba na Yanga kwa miaka ya karibuni

Jamani Miqson...hasara zipooo, Skudu na Kokon majilani wamepigwa na kitu kizitoo
 
Huyu skudu hata Mimi nahisi tumepigwa au kwakuwa hajacheza mechi nyingi...?
Bado una msimamo huo huo juu ya Skudu? Kumbuka tu huyu ndiye alikuwa kwenye first eleven ya Gamond ila baada ya kuumia ndio katoka mchezoni kwa kutokuwa timamu na namba yake ikaja mkuta fundi Pacome anakiwasha. Kadri siku na jinsi atakavyopewa muda wa kucheza atarejea kwenye ubora wake aliouonesha tangu mechi dhidi ya Kaizer chief.
 
Skudu
Konkoni
Yikpe
Molinga
Sarpong
Tuisila
Makambo
Tshishimbi

Vifungashio
Hersi S
Manara Haji
 
Ni wengi sana. Naanza na yule.kipa nduguye Chiba Robertinho. Kuna Kipa Muuza Bucha anaitwa Ayoub, Kibonge Mashavu Luis, Hafidh, Lile Bonge la Azam toka Sengal. Hamna kitu huko.
 
Skudu hajacheza mechi nyingi. Uthubutu wake wa kuforce kuingia kwenye box ni muhimu sana kwenye kusukuma mashambulizi na kumlazimisha mpinzani kufanya makosa.
Mzee yule.

Mzee fitness ataitoa wapi Tena mwenye futiboli.
 
Back
Top Bottom