Tutaje magarasa ya kigeni yaliyosajiliwa na Simba na Yanga kwa miaka ya karibuni

Huyu skudu hata Mimi nahisi tumepigwa au kwakuwa hajacheza mechi nyingi...?
Skudu kuna vitu vimepungua kwake tokea atoke kwenye majeraha. Ukiangalia Skudu wa kwenye mechi ya Kaizer chief na wa kwenye mechi ya Azam unaona kabisa sio huyu wa sasa. Alikuwa mtulivu, hapotezi ovyo mpira na mguuni alikuwa ana kitu na alikuwa anafanya maamuzi sahihi. Ila Skudu wa sasa amekosa kujiamini akiwa na mpira, utulivu hana, na amekuwa anacheza kwa uoga uoga. Nadhani tatizo kubwa ni fitness na pia lile tukio alilofanyiwa limemuharibia hata kiakili na kupelekea kucheza mpira kwa uoga sana.
 
tumpe muda utarudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unamlazimisha cha kuandika wakati simu ni yake, bando ni lake, mawazo ni yake….!!! Aonavyo yeye SIO uonavyo wewe…!!!
Hata wewe hapo unanilazimisha cha kuandika wakati simu ni yangu, bando ni langu, mawazo ni yangu. Nionavyo mini sio muonavyo ninyi..!!
 
Ongezea
Okra
Chikwende
Maduhwa
Miqson
Akpan
Ayub
Kanoute
Duncan Nyoni
Wewe Okra alikua vizuri sana sema tu shida pale Simba ni uongozi!!
Nyoni alikua anajua sema ndo hivyo.
Unasema Miqson Garasa wewe Jamaa zinakutosha kweli au umeanza kuangalia mpira Juzi siyo.

Kanoute hujui kazi yake eti itakua ww ni wale ambao wanasikiliza maneno bila kuangalia mpira
 
Back
Top Bottom