Tutajie Mbunge ambaye hujawahi kumsikia akichangia chochote Bungeni

Saa zingine Bora kukaa kimyaa kuliko yule mbunge aongeaye sanaaa halafu anayoongea hamna hata lenye mashikooo. Ukooo wa waharibifu kwa kuongea ni mkubwa sana kuliko wa wakaa kimyaa
 
Hapa kwa haraka wametajwa wabunge kama 20 ambao kama tungeamua kutokuwa nao tungeokoa fedha nyingi sana


Wale wa viti maalum vipi huko mnawasikia pia?
 
haha wewe ni mmoja ndani yao si kwautetezi huu
 
Aaahaaaaaa huyu alipataje kura huko Kaskazini? Eti spika RAIS
Huyu phalla hajua kuomba hata kura huwa anaombewa na wapambe, ana honga pesa kuliko mbunge yeyote unayemjua.

Kipindi cha kampeni misimu miwili amewatajirisha wengi sana.

Kama unamfahamu katibu wa ccm Bukoba huyo ndiye kampeni meneja wake jamaa amezila pesa za John hadi ametajirika
 
Hahah umenikumbusha Richard ndasa,RIP
Wakati nlipokuwa napiga naye ulabu anakuambia uchaguzi ukikaribia yeye ndy anarudi jimboni [emoji1]

Ova
 
Mh mbunge punguza jazba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…