Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

Hiyo hela unapoteza kwenda kusoma ni bora utoe elfu50 mtafte na umlipe mkulima/mfugaji/fundi yeyote akupe ujuzi wa kazi za mtaa then tumia ujuzi huo kufanya vitenda vidogo vidogo mitaan, hakika utatoboa.

Coz ambayo angalau inaweza kukusaidia hata usipopata ajira, ni bora ukasome mambo ya computer utaambulia hata ujuzi kidogo wa kujua mbinu za kujiingizia pesa kupitia ufundi wa software za simu&computer pia madili ya online platforms&business, hakika huwez kukosa ka laki wiki nzima[emoji16][emoji16].

Note:- kama una ndoto za kuajiriwa basi usipoteze muda wako kusoma maanahakuna kazi na hapo mbeleni utakuja kufa kwa sonona na magonjwa ya moyo+presha, usipoteze muda wako kwenye mambo ya kijinga.

Soma upate ujuzi, usisome ili uajiriwe, hakuna ajira kwa watoto masikin[emoji16]

UKWELI MCHUNGU[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom