Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

Hiyo hela unapoteza kwenda kusoma ni bora utoe elfu50 mtafte na umlipe mkulima/mfugaji/fundi yeyote akupe ujuzi wa kazi za mtaa then tumia ujuzi huo kufanya vitenda vidogo vidogo mitaan, hakika utatoboa.

Coz ambayo angalau inaweza kukusaidia hata usipopata ajira, ni bora ukasome mambo ya computer utaambulia hata ujuzi kidogo wa kujua mbinu za kujiingizia pesa kupitia ufundi wa software za simu&computer pia madili ya online platforms&business, hakika huwez kukosa ka laki wiki nzima[emoji16][emoji16].

Note:- kama una ndoto za kuajiriwa basi usipoteze muda wako kusoma maanahakuna kazi na hapo mbeleni utakuja kufa kwa sonona na magonjwa ya moyo+presha, usipoteze muda wako kwenye mambo ya kijinga.

Soma upate ujuzi, usisome ili uajiriwe, hakuna ajira kwa watoto masikin[emoji16]

UKWELI MCHUNGU[emoji16][emoji16]
Dah, mkuu, kama vile umekuwa ulimi wangu vile. Pitia kreti la bia pale See breeze ntakuja kulipia
 
Bachelor of Science in Mathematics

Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.

Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Nyie sio ndio mnabaki chuo nakuanza kuja na matheory mzee. Watu wa mathematics aio wakuka kitaa bwana nyie ni watu very important ni kubukua tuu hapo chuo
 
Bachelor of Science in Mathematics

Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.

Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Taft shule ufundishe ama fungua centre yko ufundishe... hesabu ni ugonjwa wa taifa utapga pesa mingi
 
Unapozungumzia simu ni ngazi ya certificate wanazotoa vyuo vya ufundi, sioni ulazima wa mtu kutumia gharama kubwa na muda mwingi kusoma cs kisha uje kwenye ufundi wakati ungeweza kwenda veta kusomea programme hizo hizo kwa muda mfupi na gharama nafuu.
Sawa hyo ukiwa fully kweny Cyber unaweza kucrack simu haswa kubypass simu za wizi ila ni ishu hatari sana.
 
Watanzania wenzangu, Wakati umefika sasa wa kuachana na fikra mgando za kufikiria kuajiriwa tu. Tupanue akili zetu na kuwekeza nguvu nyingi kwenye kujiajiri....... ili tupunguze mateso ya kutembea ofisi/kampuni/shirika moja hadi nyingine kuomba ajira.
Mbona kama huu ni mwandiko wa mama kabisa. 😃😃😃😃Ila ahsante sana kwa ushauri mimi nimekuelewa tujiajiri ili tutengeneze ajira kwa wengine.
 
Bachelor of Science in Mathematics

Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.

Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Bro hio sentensi ya mwisho ni noma sana...Mungu aendelee kutufanyia wepesi
 
Bachelor of Science in Mathematics

Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.

Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Pole jaribu kusoma data analysis na short courses zingine halafu deal na private organisations tu

Hasa contract works

Utanishukuru baadae nmekuonea huruma Pole Sana
 
Back
Top Bottom