Elpaul
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 922
- 692
Inaumiza sana mkuu poleBachelor of Science in Mathematics
Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.
Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"