Inaumiza sana mkuu poleBachelor of Science in Mathematics
Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.
Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Zama hizi nani akuajiri na hizo kozi?uko wapi boss mbona hzo course ndo znaongoza kwenye ajira
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
unadhani kwann hawaajiri kwa sasa?Zama hizi nani akuajiri na hizo kozi?
Kwa mfano, hiyo degree ya procurement hakunaga muajiri bonafsi atakuchukua, subiri serikalini au taasisi za umma, nako ni kwa uchache mnoo tena kimchongo mnoo, na saturation point ilishafikiiwa na vyuo vinazidi kumwaga mamia ya wahitimu mtaani.
Business administration ndio haiwekani tena kuajirika.
Entrepreneurship nani akuajiri?
Unaambiwa bongoland ipo na connection ndo upate michongoComputer science and cyber security. Hizi utaishia kuwa fundi sim na mseti madishi ya azam
Acha bwana kuna dogo langu la kike limeng'ang'ania hiyo kozi yupo UDOMBachelor of Science in Mathematics
Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.
Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Dah aisee pole Bora ungepga ata bachelor ya statistics sema unaweza namba sana piga MASTERS YA STATITICS AU ENGINEERINGBachelor of Science in Mathematics
Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.
Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Nakushauri umshauri, ahame hiyo kozi. Japo saizi nasikia wana electives za ualimu ili wafae kuajiriwa kama walimu. Hiyo kozi ni majanga.Acha bwana kuna dogo langu la kike limeng'ang'ania hiyo kozi yupo UDOM
Asante. Nimepokea ushauri wako.Dah aisee pole Bora ungepga ata bachelor ya statistics sema unaweza namba sana piga MASTERS YA STATITICS AU ENGINEERING
Poapoa mkuuAsante. Nimepokea ushauri wako.
Fursa zipo ila changamoto kubwa ni wanaoandaliwa hawapati elimu wezeshi ya kuwafanya watatue matatizo mbalimbali kupitia maarifa waliyopata, na hii inasababishwa na miundombinu duni ya kufundishia pia wafundishaji nao walipita njia hizo hizo wanazowapitisha wanafunzi wao hivyo hamna jipya litakalobadili.Computer science and cyber security. Hizi utaishia kuwa fundi sim na mseti madishi ya azam
Ila naona kwa ulimwengu wa sasa unaweza kutusua maana simu kibao kitaa utapiga kaziComputer science and cyber security. Hizi utaishia kuwa fundi sim na mseti madishi ya azam
Unapozungumzia simu ni ngazi ya certificate wanazotoa vyuo vya ufundi, sioni ulazima wa mtu kutumia gharama kubwa na muda mwingi kusoma cs kisha uje kwenye ufundi wakati ungeweza kwenda veta kusomea programme hizo hizo kwa muda mfupi na gharama nafuu.Ila naona kwa ulimwengu wa sasa unaweza kutusua maana simu kibao kitaa utapiga kazi
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa yangu amesoma degree ya mipango na hana ajira wala hela huwa namshangaa sana!
Mipango gani hiyo sasa kasomea!