[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa umenifanya nicheke aiseeKuna jamaa yangu amesoma degree ya mipango na hana ajira wala hela huwa namshangaa sana!
Mipango gani hiyo sasa kasomea!
Wildlife n conservations UDSM
Sikuingia hata Conas nikaishia Kwame nkurumah na ndio ikawa bhaasWildlife n conservations UDSM Bsc
Njoo JWTZ mkuu...Bachelor of Science in Mathematics
Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.
Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Pitia kreti la bia pale Sea Breeze, nitakuja kulipia [emoji119]Naongezea kozi kwa level zote,certificate,bachelor,na masters ili watu wasipoteze mda kusoma kitu ambacho hakima msaada kwao.ahsnte
[emoji23][emoji23]Bachelor of Science in Mathematics
Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.
Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Dah, mkuu, kama vile umekuwa ulimi wangu vile. Pitia kreti la bia pale See breeze ntakuja kulipiaHiyo hela unapoteza kwenda kusoma ni bora utoe elfu50 mtafte na umlipe mkulima/mfugaji/fundi yeyote akupe ujuzi wa kazi za mtaa then tumia ujuzi huo kufanya vitenda vidogo vidogo mitaan, hakika utatoboa.
Coz ambayo angalau inaweza kukusaidia hata usipopata ajira, ni bora ukasome mambo ya computer utaambulia hata ujuzi kidogo wa kujua mbinu za kujiingizia pesa kupitia ufundi wa software za simu&computer pia madili ya online platforms&business, hakika huwez kukosa ka laki wiki nzima[emoji16][emoji16].
Note:- kama una ndoto za kuajiriwa basi usipoteze muda wako kusoma maanahakuna kazi na hapo mbeleni utakuja kufa kwa sonona na magonjwa ya moyo+presha, usipoteze muda wako kwenye mambo ya kijinga.
Soma upate ujuzi, usisome ili uajiriwe, hakuna ajira kwa watoto masikin[emoji16]
UKWELI MCHUNGU[emoji16][emoji16]
Nyie sio ndio mnabaki chuo nakuanza kuja na matheory mzee. Watu wa mathematics aio wakuka kitaa bwana nyie ni watu very important ni kubukua tuu hapo chuoBachelor of Science in Mathematics
Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.
Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Taft shule ufundishe ama fungua centre yko ufundishe... hesabu ni ugonjwa wa taifa utapga pesa mingiBachelor of Science in Mathematics
Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.
Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Oyaa lufuna village darasa la saba b[emoji23][emoji23]Acha bwana kuna dogo langu la kike limeng'ang'ania hiyo kozi yupo UDOM
Hii ndio inaongoza kwa kulamba asali, check kina mwamposaTheology
Sawa hyo ukiwa fully kweny Cyber unaweza kucrack simu haswa kubypass simu za wizi ila ni ishu hatari sana.Unapozungumzia simu ni ngazi ya certificate wanazotoa vyuo vya ufundi, sioni ulazima wa mtu kutumia gharama kubwa na muda mwingi kusoma cs kisha uje kwenye ufundi wakati ungeweza kwenda veta kusomea programme hizo hizo kwa muda mfupi na gharama nafuu.
Mbona kama huu ni mwandiko wa mama kabisa. ππππIla ahsante sana kwa ushauri mimi nimekuelewa tujiajiri ili tutengeneze ajira kwa wengine.Watanzania wenzangu, Wakati umefika sasa wa kuachana na fikra mgando za kufikiria kuajiriwa tu. Tupanue akili zetu na kuwekeza nguvu nyingi kwenye kujiajiri....... ili tupunguze mateso ya kutembea ofisi/kampuni/shirika moja hadi nyingine kuomba ajira.
Bro hio sentensi ya mwisho ni noma sana...Mungu aendelee kutufanyia wepesiBachelor of Science in Mathematics
Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.
Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Pole jaribu kusoma data analysis na short courses zingine halafu deal na private organisations tuBachelor of Science in Mathematics
Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.
Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Inaumiza sana.Bachelor of Science in Mathematics
Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.
Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Kwa umri wangu sasahivi ni labda niwe na phd ndo ntapokelewa na jeshi.Njoo JWTZ mkuu...
Heh heh..Nyie sio ndio mnabaki chuo nakuanza kuja na matheory mzee. Watu wa mathematics aio wakuka kitaa bwana nyie ni watu very important ni kubukua tuu hapo chuo